Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Huo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.
Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja
Source ? Usituletee utibisii plzHii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.
Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha.
Na pia ndio inakadiriwa kua ndio itakua (Peak) kilele cha Ugonjwa huu wa Corona Virus kwa wa Amerika.
Amewaomba Watu wa Amerika wajiandae Kisaikolojia kupokea Msiba huu Mzito na Mgumu sana unaokuja.
"Mungu Aturehemu Atuepushe na Hili Janga" .
Sema "AMEN"
Angalia CNN sasa hivi Special Task Force inariport.Source
Source ? Usituletee utibisii plz
Just go back and look at what Joe Biden And Nancy Pelosi were saying when Trump stopped Travel from China early.Lakini hata Trump mwenyewe ametahadharisha hivyo. Ila ametoa matumaini pia huenda ndio ikawa peak maana yake baada ya hapo tatizo litaanza kupungua.
Ni kweli cnn wanazungumzia hilo muda huu nimeamka nione ila umetia chumvi kwa makusudi au huelewi kingerezaHii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.
Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha.
Na pia ndio inakadiriwa kua ndio itakua (Peak) kilele cha Ugonjwa huu wa Corona Virus kwa wa Amerika.
Amewaomba Watu wa Amerika wajiandae Kisaikolojia kupokea Msiba huu Mzito na Mgumu sana unaokuja.
"Mungu Aturehemu Atuepushe na Hili Janga" .
Sema "AMEN"
Just go back and look at what Joe Biden And Nancy Pelosi were saying when Trump stopped Travel from China early.
Vifo vitatokea ila lockdown ni solution ya mwisho sana akicheza DEMS watamshinda
Ni kweli cnn wanazungumzia hilo muda huu nimeamka nione ila umetia chumvi kwa makusudi au huelewi kingereza
[/QUOTE
Chunvi ipo wapi hapo. Aya zenyewe mbili tu hapo.
Ulidhani ni Habari ya Uzushi ndio maana unaona kama kuna Chumvi vile.
Umeona nilichokiandika na CNN wanavyolipoti?Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Kukurupuka kubaya sana asee kama DT Mwenyewe Katoa Tahadhari Juu Yatatizo Wewe Nani UnapingaHuo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.
Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja
says the cnn troll 😂😂 how far right of you.Kukurupuka kubaya sana asee kama DT Mwenyewe Katoa Tahadhari Juu Yatatizo Wewe Nani Unapinga
Siasa na Dini Zishawatia Upofu Maskini [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using My COVID-19
Nenda aljazeera na cnn utaona. Usiwe mvivu wa kutfuta vyanzo vya habari.Source
Source ? Usituletee utibisii plz
Nchi 90 inahusikajeUlipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Leo tayari vimefika zaidi ya vifo 4000 waliokufa kwa leo tu ni 900+Hii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.