Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Nyamsusa JB atakuwa alidanganya, ni kati ya watu LAKI 1 hadiUlipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Uchumi wa Marekani ulishakuwa unashuka kwa kasi kubwa kabla ya hii Corona, sema media zote za mirengo ya kulia na kushoto zilikuwa hazitangazi. Angalia feds walivyokuwa wanashusha interest rates toka mwaka jana utaelewa kuwa uchumi uko hoi.Huo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.
Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja
Tatizo ni kuwa idadi ya wagonjwa mahospitalini imeongezeka ghafla kwa kipindi kifupi, vituo vya afya havitaweza kuhimili idadi ya wagonjwa.Naona kama Trump na Jopo lake lote la kikosi maalumu dhidi ya corana wameshaona janja ya DEMS na wako makini sana. Trump anawajibu vizuri sana hawa wanahabari waliopo kwenye hii Press conference ambao inaonekana kama wanaegemea kwa DEMS sana.
Hao Pro-dems wanajaribu kulitumia hili janga kisiasa dhidi ya Trump ila wakishindwa wataumbuka vibaya mno.Naona kama Trump na Jopo lake lote la kikosi maalumu dhidi ya corana wameshaona janja ya DEMS na wako makini sana. Trump anawajibu vizuri sana hawa wanahabari waliopo kwenye hii Press conference ambao inaonekana kama wanaegemea kwa DEMS sana.
Mpaka sasa, Marekani imekuwa na vitanda vya ziada kama 400 hivi, tatizo Corona imeongeza wagonjwa wengi sana kwa muda mfupi .Dah!.. kumbe hata taifa kubwa(super power) bado halijaweza kujitosheleza kwenye huduma za kiafya?...🙄🙄🙄...?
Media zote including cnn ni anti-Trump uchumi wa marekani wa utawala huu wa Trump haujawahi kutokea kwa miaka 50 iliyopita.Uchumi wa Marekani ulishakuwa unashuka kwa kasi kubwa kabla ya hii Corona, sema media zote za mirengo ya kulia na kushoto zilikuwa hazitangazi. Angalia feds walivyokuwa wanashusha interest rates toka mwaka jana utaelewa kuwa uchumi uko hoi.
Siwezi kuzungumzia chochote cha Dallas hata kufika sijawahi, zungumza kuhusu Louisiana na Minnesota kwa ujumla.Pili, bei ya mafuta inaporomoka vibaya sana, kuna sehemu Dallas gas station zinauza gas $0.99 kwa gallon, mara ya mwisho niliweka mafuta kwa bei hiyo ilikuwa miaka ishirini iliyopita, sijui wewe ulikuwa wapi kipindi hicho.
Uchumi wa America hautegemei petroli embu zungumzia kitu kingine aisee this is not third world shitholeKama hujui, Marekani ilikuwa namba moja kwa uchimbaji wa mafuta duniani kutokakna na hydraulic fracturing. Hii teknolojia ni ghali sana, makampuni ya uchimbaji yamekuwa yakikopa benki ili kuendesha hii biashara. Ili makampuni hayo yaweze kujiendesha, inabidi bei ya mafuta iwe $50 (break even point). Sasa hivi bei ya pipa ni chini ya $20.
Urusi na Saudia wanaendelea kushindana bei ya mafuta kwa kuyajaza kwenye soko, soko ambalo halina wateja, watu wengi wako majumbani. Tuombe Mungu tuu, hali itakuwa mbaya siku zijazo, hii corona imeongezea kuni tuu.
Makampuni mengi yatahitaji bailout, kitu ambacho hakitawezekana sasa, usione watu wajinga kununua bunduki kwa wingi kipindi hiki, wanaelewa kinaweza nuka muda wowote.
Federal reserve wameshusha interest rate mpaka kufikia 0.25. Unaelewa maana yake?Media zote including cnn ni anti-Trump uchumi wa marekani wa utawala huu wa Trump haujawahi kutokea kwa miaka 50 iliyopita.
Kumbe wewe mweupe sana, hivi unajua hata petrol dollar ni nini?Uchumi wa America hautegemei petroli embu zungumzia kitu kingine aisee this is not third world shithole
Hakukuwa na ulazima wa kutaja nchi 90Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Usirudie kuniita mweupe nakusisitiza sana ufala sipendi, ignorance is on the wrong page!Federal reserve wameshusha interest rate mpaka kufikia 0.25. Unaelewa maana yake?
Kumbe wewe mweupe sana, hivi unajua hata petrol dollar ni nini?
Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Mbona unaruka ruka, nimekuuliza unaelewa maana ya petrodollar na nguvu yake kwenye uchumi wa US?Usirudie kuniita mweupe nakusisitiza sana ufala sipendi, ignorance is on the wrong page!
US has the lowest emissions of CO2 in 60 yrs.
US inashusha bei ya average cars.
US inshusha bei ya kila kitu na wana increase workers wage.
You came from hell with your nonsenses 😏 teeena
Trump pia ametuma vi postcard nchi nzima kusihi watu wakae nyumbani.Kupitia ukurasa wake wa Twitter Trump ameandika yanayotakiwa kufanywa na Wamarekani wakati huu wa Siku 30 za kupunguza maambukizi ya virusi vya corona.
Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90
Sasa usichoelewa nini Mkuu au Tv yako ya Mafuta ta taa?Ulipose
Uliposema watu laki moja wanatarajiwa kufa within two weeks USA ndio nimeshangaa imebidi niamke niwashe tv yangu ya nchi 90