Majumuisho kesi Mbowe, Kinyang'anyiro ni katika DR

Majumuisho kesi Mbowe, Kinyang'anyiro ni katika DR

Kesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga.

Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central Police Dar na nyingine kutokea kituo cha Polisi Tazara.
Mungu huyu!
 
Hiyo walshairuka kwa msaada wa Jaji kwa kuikataa barua ya Lingwenya isipokelewe kama kielelezo

Kwa vile kesi ya msingi ingali changa, tutegemee kufika huko pia.

Kwanini haki ya yeyote iporwe kwa kutokuleta tu register yoyote inayoweza kusaidia kuupata ulio ukweli kamili?

Anayepinga hilo si atakuwa ni yeye dhidi ya watanzania wote?
 
Hiyo kesho ndiyo maamuzi (hukumu) ya kesi kubwa yatafanyika? Au bado ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa?

Mwenzenu sielewi kitu
Maamuzi ya kesi ndogo ni tr 14 December. Kesho/leo ni kukabidhi majumuisho ya dodoso kutoka kwa mawakili juu ya hiyo kesi ndogo.
 
Kesho hukumu ita acha historia nzuri au doa chafu katika mahakama zetu na weledi wa majaji wetu ,Mbowe sio gaidi
Hukumu au maamuzi ya kesi ndogo siyo kesho (leo), ni tr 14. Lesho ni kukabidhi majumuisho ya dodoso kutoka kwa mawakili wa pande zote mbili.
 
Sitegemei la maana kutoka kwa jaji wa michongo.
Toka lini hakimu wa mahakama wa mwanzo akapewa ujudge,jaji elimu hana plus kupewa maelekezo na jopo la bibi tozo kua amfunge mbowe...hii kesi inaendeshwa na mcherengwa,siro,diwani kesi yote mashahidi ni police,uliona wapi hili
 
Hii kesi DPP achutame, mtu mzima tauro likichonjoka huna mamna nyingine, kuendelea kubembeleza mtoto wakati tauro lishaachana na mwili itakuwa ni kuwapa faida majirani, please please.
 
Huyu jaji wa michongo hata elimu yake ni utata,yani anamuomba kingai msamaha...uliona wapi judge anaomba msamaha kwa shahidi wa mchongo
Huyo Kingai ameshaingia kwenye book jeusi asubiri yatokanayo serikali ni yawote kiti ni muda
 
Bado naisubiri siku ya hukumu kuu, japo nimeshahisi itakuwaje ila nasubiri kuhakikisha tu.
 
Kunataarifa Raisi Samia kukutana na vyama vya siasa Dodoma tarehe 16Desember
Imekaaje Wajuvi?
 
Jaji na kikundi chake atambue kuwa tumeshamshtakia kwa Mungu kama hatotenda haki
hivi haki unayoitegemea ndugu hapani kama ipi maana naona kama una jibu tayari kuwa akiamua hivi tu hajatenda haki na akiamuahivi katenda haki?
 
Back
Top Bottom