Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

Kuna mrembo mwingine mtata anaenda kurithi nafasi yake.Huyo dada ni bora akatae uteuzi huo,maana hata yeye hana exposure nzuri kwa jamii hasa maisha yake ya kimapenzi.
 
Yan huyu mtt kapeana papuch
Imekuliwa na katoswa yann
Anateseka c uje tu kwang kidot
 
aende tu kule wanapochukuwaga mabaki kule wapi kule kwa chadome
 
.........
Sasa baada ya kutimuliwa mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti, hali yake ni tete mno! Walio karibu naye wanasimulia jinsi alivyokumbwa na msongo wa mawazo.

Ukisoma vizuri maandiko matakatifu utaelewa kwamba hata siku moja Mungu hataniwi, huyu akifahamu kwamba CCM ndiye adui wa wateja wa bidhaa zake akaamua kuungana nayo kitu kilichosababisha kifo chake kisiasa na kiuchumi.

Pole dada.


Soma zaidi hapa; Mwenyekiti UVCCM, Kheri James ametengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji, Jokate Mwegelo
hahaaaa!
watu mna vijimaneno!
 
Nilijua tuu hawatamchelewesha kwa kuwa kuingia kwake alitoa mlungura. na hajatoa papa kwa Baba ya dar salaam
 
Ata nape alikomaaaa watu wakashinda lakn badae mbele ya media kanyooshewa bastola [emoji1][emoji1][emoji1]ccm ya wawili mkulu na mwanawe wa dar
mwanae wa dar au waweza kumuita Naibu Rais wa JMT.
 
Pole yake atulie sasa aolewe wanaume wengi hawapendi kuoa wanasiasa
 
Plus,Diamond, original comedy,dr shika,Anton Diallo,Mange,Shigongo,Marlow mzee wa pii..pii.bongo movies,nk walishatumika na ccmiz wakabwagwa.Hivo awe mpole,watamkumbuka hata ukuu wa wilaya asife moyo.
Hatimaye utabiri umetimia...ulikuwa na Maono ya mbali mkuu...inawezekana uliongea kama masikhara lkn kauli yako nazani malaika wema walipita wakati unaandika na ikapokelewa kama ilivyo...she is DC now at Kisarawe District.
 
Back
Top Bottom