MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Wewe ni muongo sana na hii habari ni ya kutunga. Wewe ni dume.
 
Huyo mtu ni mtu mwema sana,alikuamini kama Adamu kwa Hawa!Ubinafsi umekuponza,nunua kiwanja kwa jina lake mshangaze na kumuonyesha hati na matofali ,ili mjenge kwa pamoja Hakika atakuamini,umekula,utakuja kumshukuru Mungu
 
Kwa mwanaume kukuamini tena sahau. Tena hapo makosa yako amewaunganisha ndugu zako. Endelea kufurahia maisha mengine pamoja naye
 
Mimi nadhan kafanya maamuzi sahihi na anaendeleaje kuyasimamia.

Unaona unajilaumu Kwa yeye kujua, ila asingejua usingekua na hayo maumivu.

Hivo kilio chako ni MACHOZI YA MAMBA.


Sanasana ninavyokuona na ulivyo mbinafsi, unaweza anzisha Harakati za kumwendea Kwa Mganga, na kwa hatua hiyo u3lipata mchepuko wakukukuna vizur, moyon utajawa na ubinafsi wa Mali za Mumeo ambazo haukutoa hata Shilingi Mia, utawaza chapchap Nyumba Moja iwe yako, biashara Moja iwe yako, gari Hilo Moja lemyenjina lako liwe lako .


Kama ningekua mshauri wa Mumeo, ningeanza Harakati kimya kimya za kubadilisha Umiliki wa Mali na kuziweka Kwa majina ya Mama yangu.



Wewe ni Mbinafsi na Usiyefaa.
 
Wewe tulia umevuna ulichopanda, hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo, big up kwa mshikaji anajitambua.
 
Akikushirikisha tena atakua fala wa mwisho kabisa Duniani.

Yaani akushirishe ufanye ujinga tena??
Unatakiwa kujutia kikamilifu ujinga na matamaa yako ya kijinga uliyoyafanya. 😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑 mPumbavu mmoja wewee
 
Jamaa yupo sawa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…