Makaa ya mawe sasa nyumbani

Makaa ya mawe sasa nyumbani

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
STAMICO kusherehekea miaka 50, imezalisha makaa ya mawe rafiki kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Makaa yana ufanisi mkubwa na huwaka kwa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.

Pia husaidia katika utunzaji wa mazingira maana yatazuia ukataji wa miti hovyo.

BEI yake ni rafiki pia kwani yatapatikana kwa
Reja reja 1000/ kwa Kilo 1
Jumla 800/ kwa Kilo 1

Tutunze mazingira yatutunze

Kata mti, Panda Mti
20220817_095653.jpg
 
Wengine tulishaanza kutumia kitambo sana nyie mmeanza leo

Ova
 
Yanatumika kwenye majiko haya haya ya mkaa? kama wanaweza kukidhi mahitaji makubwa ya soko hasa maeneo ya mijini huenda ukawa mwarobaini wa kupunguza uteketezaji miti kwa ajili ya kuzalisha mkaa.
 
vipi wali unakuwa mtamu kwa kiwango kilekile cha Mkaa wa miti?
 
Jambo jema sana..waanze kusambaza maeneo yote ya miji mikubwa..mana huko ndiko matumizi makubwa ya mkaa na kuni hutumika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwaka mda mrefu kiasi gani na unatumiwa kwenye majiko maalum au haya haya ya mtaani tu?
 
Ni jambo zuri. Ingawa elimu inahitajika sana kwa wale Watanzania wasuo na taarifa! wale wa maeneo ya pembezoni, na wanaotegemea zaidi nishati ya kuni na mkaa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom