Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio Mayele tena?Makabi Lilepo, Mshambuliaji bora kwa Afrika kwa sasa
Ni moses phirisio Mayele tena?
Baleke mtoe hapo unless kama unataka ku balance storyArdhi ya Congo inatoa vipaji sana hasa washambuliaji Mayele, Lilepo, Wissa, Manzoki, Baleke. Hawa jamaa wamebarikiwa sana
Manzoki ni central Africa sio congoArdhi ya Congo inatoa vipaji sana hasa washambuliaji Mayele, Lilepo, Wissa, Manzoki, Baleke. Hawa jamaa wamebarikiwa sana
Anasili ya Congo na kaishi sana CongoManzoki ni central Africa sio congo
Yah ni kweli
Huyu si ndiye tulisikia kasajiliwa kwa bilioni moja? Timu za Kariakoo bado hazijafikia hukoNaona bado ana miaka 25 tu, mapacha wa Kariakoo wachangamke!
![]()
Makabi Lilepo - Player profile 24/25
Makabi Lilepo, 27, from DR Congo ➤ Valenciennes FC, since 2023 ➤ Right Winger ➤ Market value: €300k ➤ * Jul 27, 1997 in Kinshasa, DR Congowww.transfermarkt.com
Hawezi kuwa Mshambuliaji bora kwa Afrika labda kama unaangalia timu moja tu.Jamaa linajua sana, linapiga free kick za kikubwa sana. Juzi limewatungua Waarabu, jana cotton sports wamelizwa kwa magoli makali yote.
Nadhani huyu jamaa hatasalia tena Al Hilal baada ya mashindano kuisha.
View attachment 2529124
Shida yao katika kufoji umri... sura zimekomaa sanaaaa lakini umri utaambiwa ni 25...!Naona bado ana miaka 25 tu, mapacha wa Kariakoo wachangamke!
![]()
Makabi Lilepo - Player profile 24/25
Makabi Lilepo, 27, from DR Congo ➤ Valenciennes FC, since 2023 ➤ Right Winger ➤ Market value: €300k ➤ * Jul 27, 1997 in Kinshasa, DR Congowww.transfermarkt.com
Unasema Petro de Luanda wana quality ya wachezaji ya kuifunga timu yoyote Africa lakini tambua hao wana point 4 tu hadi sasa katika mechi tatu. Ligi si rahisi hivyoTimu zetu tz Zina kazi, Jana kulikuwa na mbugi ya wydad na Petro de Luanda, Petro de Luanda unaona kabisa Hawa wana quality ya wachezaji ambao wanaweza kuifunga timu yoyote afrika na muda wowote ule.
Wana points nne Kwa sababu wamekutana na wenzao wanaokaribiana, kundi lao ni gumu sana laiti kama zingekuwa timu nyingine Sasa hivi tungeongelea point sifuri kwao, kimsingi quality wanayo, wana mechi mbili nyumbani chochote kinaweza tokea, ukiangalia kabisa unawaona Hawa wako level Moja na timu kubwa nyingine za afrika hivyo si rahisi kusema kuwa atafungwa kirahisi hata ugenini, ni timu inayoweza kukupa tumaini la bao muda wowote.Unasema Petro de Luanda wana quality ya wachezaji ya kuifunga timu yoyote Africa lakini tambua hao wana point 4 tu hadi sasa katika mechi tatu. Ligi si rahisi hivyo
mkuu Ni kweli ana point 4 sema ana kundi gumu mpaka hapo kajtahd lakin game za nyumban anafanya vzuriii ZaidUnasema Petro de Luanda wana quality ya wachezaji ya kuifunga timu yoyote Africa lakini tambua hao wana point 4 tu hadi sasa katika mechi tatu. Ligi si rahisi hivyo
Kundi la Petro Luanda siyo gumu lina timu mbili dhaifu, As Vita na JSK halafu Wydad msmu huu yupo hovyo.Unasema Petro de Luanda wana quality ya wachezaji ya kuifunga timu yoyote Africa lakini tambua hao wana point 4 tu hadi sasa katika mechi tatu. Ligi si rahisi hivyo