Game moja ya nyumbani alitoa sare na JSK, kundi alilopo siyo gumu ila hawapo vizuri pia msimu huu.mkuu Ni kweli ana point 4 sema ana kundi gumu mpaka hapo kajtahd lakin game za nyumban anafanya vzuriii Zaid
Kwahiyo magoli waliyokosa Petro De luanda ni kutokana na quality ya wachezaji au bahati?Timu zetu tz Zina kazi, Jana kulikuwa na mbugi ya wydad na Petro de Luanda, Petro de Luanda unaona kabisa Hawa wana quality ya wachezaji ambao wanaweza kuifunga timu yoyote afrika na muda wowote ule.
Hapo Baleke na Manzoki wana ushambuliaji gani sasa. Au unataka kuleta ushabiki mpaka kwa hao M23Ardhi ya Congo inatoa vipaji sana hasa washambuliaji Mayele, Lilepo, Wissa, Manzoki, Baleke. Hawa jamaa wamebarikiwa sana
Anakuwa bora kwa mechi moja tuJamaa linajua sana, linapiga free kick za kikubwa sana. Juzi limewatungua Waarabu, jana cotton sports wamelizwa kwa magoli makali yote.
Nadhani huyu jamaa hatasalia tena Al Hilal baada ya mashindano kuisha.
View attachment 2529124
Unge m- quote aliyesema Petro Luanda wanaweza kuifunga timu yoyote Africa kutokana na aina ya wachezaji wao ila baada yake umeni quote mimi niliyehoji ubora wake kutoakisi matokeo yao uwanjani.Kundi la Petro Luanda siyo gumu lina timu mbili dhaifu, As Vita na JSK halafu Wydad msmu huu yupo hovyo.
Elewa komenti ya mdau hapo ligi ni ngumu hao petro Luanda hawana timu ya kutisha kihivyo.
Yeah bila shaka nilikosea kuquoteUnge m- quote aliyesema Petro Luanda wanaweza kuifunga timu yoyote Africa kutokana na aina ya wachezaji wao ila baada yake umeni quote mimi niliyehoji ubora wake kutoakisi matokeo yao uwanjani.
Mailula Bado naona kama ana bahati tuHawezi kuwa Mshambuliaji bora kwa Afrika labda kama unaangalia timu moja tu.
Wapo washambuliaji wengi tu level yake au zaidi, sema kwa mashindano haya yuko form tu lakini siyo kuwa Mshambuliaji bora Afrika.
1. Mailula ana goli tatu mpaka sasa
2. Lilepo ana goli tatu
3. Patient Wassou ana goli mbili
Jaures Ngombe ana goli mbili
4. Khabba ana goli tatu.
Halafu Lilepo awe bora kuliko hao wote ?
Mkuu unafwatiliaga mpira?Kundi la Petro Luanda siyo gumu lina timu mbili dhaifu, As Vita na JSK halafu Wydad msmu huu yupo hovyo.
Elewa komenti ya mdau hapo ligi ni ngumu hao petro Luanda hawana timu ya kutisha kihivyo.
Na huyo je?Shida yao katika kufoji umri... sura zimekomaa sanaaaa lakini umri utaambiwa ni 25...!
Hawa watu salute
Astaghafirulah.!Na huyo je?View attachment 2529488
Huyu mwenye goli 3 katika mechi 15?Manzoki ndio kila kitu