Makabi Lilepo, Mshambuliaji bora kwa Afrika kwa sasa

Makabi Lilepo, Mshambuliaji bora kwa Afrika kwa sasa

mkuu Ni kweli ana point 4 sema ana kundi gumu mpaka hapo kajtahd lakin game za nyumban anafanya vzuriii Zaid
Game moja ya nyumbani alitoa sare na JSK, kundi alilopo siyo gumu ila hawapo vizuri pia msimu huu.
 
Timu zetu tz Zina kazi, Jana kulikuwa na mbugi ya wydad na Petro de Luanda, Petro de Luanda unaona kabisa Hawa wana quality ya wachezaji ambao wanaweza kuifunga timu yoyote afrika na muda wowote ule.
Kwahiyo magoli waliyokosa Petro De luanda ni kutokana na quality ya wachezaji au bahati?
 
Ardhi ya Congo inatoa vipaji sana hasa washambuliaji Mayele, Lilepo, Wissa, Manzoki, Baleke. Hawa jamaa wamebarikiwa sana
Hapo Baleke na Manzoki wana ushambuliaji gani sasa. Au unataka kuleta ushabiki mpaka kwa hao M23
 
Kundi la Petro Luanda siyo gumu lina timu mbili dhaifu, As Vita na JSK halafu Wydad msmu huu yupo hovyo.

Elewa komenti ya mdau hapo ligi ni ngumu hao petro Luanda hawana timu ya kutisha kihivyo.
Unge m- quote aliyesema Petro Luanda wanaweza kuifunga timu yoyote Africa kutokana na aina ya wachezaji wao ila baada yake umeni quote mimi niliyehoji ubora wake kutoakisi matokeo yao uwanjani.
 
Unge m- quote aliyesema Petro Luanda wanaweza kuifunga timu yoyote Africa kutokana na aina ya wachezaji wao ila baada yake umeni quote mimi niliyehoji ubora wake kutoakisi matokeo yao uwanjani.
Yeah bila shaka nilikosea kuquote
 
Hawezi kuwa Mshambuliaji bora kwa Afrika labda kama unaangalia timu moja tu.

Wapo washambuliaji wengi tu level yake au zaidi, sema kwa mashindano haya yuko form tu lakini siyo kuwa Mshambuliaji bora Afrika.
1. Mailula ana goli tatu mpaka sasa
2. Lilepo ana goli tatu
3. Patient Wassou ana goli mbili
Jaures Ngombe ana goli mbili
4. Khabba ana goli tatu.

Halafu Lilepo awe bora kuliko hao wote ?
Mailula Bado naona kama ana bahati tu
 
Kundi la Petro Luanda siyo gumu lina timu mbili dhaifu, As Vita na JSK halafu Wydad msmu huu yupo hovyo.

Elewa komenti ya mdau hapo ligi ni ngumu hao petro Luanda hawana timu ya kutisha kihivyo.
Mkuu unafwatiliaga mpira?

Hebu angalia mechi za JS Kabyle alafu uje hapa useme kuwa ni timu dhaifu
 
Shida yao katika kufoji umri... sura zimekomaa sanaaaa lakini umri utaambiwa ni 25...!

Hawa watu salute
Na huyo je?
Screenshot_20230224-095149_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom