Makabila ambayo wakioana, ndoa zao hudumu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai.

2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki.

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni.

4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni.

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru.

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro.

7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu.

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati.

9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa.

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu.

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
 
#2 hapo nalemaga nkoi!hakuna mwanamke wa kabila hizo anaweza kumudu amri/mtindo wa maisha wa sisi wasukuma,hao huwa tunawatafuna sababu ya weupe wao ila si kuweka ndani kwani hawawezi kusonga ugali mgumu!!
 
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai...

2. Msukuma akioa Mbulu/Mrangi/Mnyaturu/Mmeru/Mchaga au Muiraki...

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni...
4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni...

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru...

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro...
7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu...

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati...
9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa...

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu...

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
Ndoa inategemea na mtu siyo kabila. Unaweza oa mchaga A akakushinda ila mchaga B ndoa ikanyooka
 
Haya mume muhehe ndio mimi,ajitokeze m-bena mnyamwezi au mngoni
 
Mbulu ndio kabila gani?, hakuna kabila la wambulu bali kuna kabila la Wairaqw na sio wairaki.

Ila hivi binti wa kichaga anaweza kubali kuolewa na kudumu na mdigo kwelii?. Nwhisi upinzani utaanzia kwa ndugu zake. Wanasema mdigo mzigo.
Labda kama akubali kuendeshwa na huyo binti mpaka akome.
 
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai.

2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki.

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni.

4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni.

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru.

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro.

7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu.

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati.

9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa.

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu.

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
wakurya hatuoagi wajita wala wajaluo. unajua kwanini
kimila hizo kabila hawaendi jando hata wanaume, tarime tunatahiri hata wadada
ni mwiko kuoa hizo kabila sababu za kimila, kama ni suala la kuoa huko ni suala limeanza na usasa ila kihistoria hizo jamii hazioani
naongelea ile wakurya wa kijijini, sio wale wa mjini wanakula hata biriani 😆 😆 kwa MAry biriani
Wakurya tunapenda kuoana wenyewe kwa wenyewe, kama sula la mahari limebana option yetu ni kuoa kabila moja lipo kenya wanaitwa wamalagori au option kwa hapa tanzania ni warangi na wagogo . sema ukioa kwa warangi lazima usilimishwe kwanza
 
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai.

2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki.

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni.

4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni.

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru.

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro.

7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu.

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati.

9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa.

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu.

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
Wakioana [emoji777]

Wakiolewa [emoji736]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom