Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!dada zangu siwaon hapa
Kwa hyo na wewe unaleta tafiti zako ee tumwamini yupi sasa1.wa-iraq/wamburu
2.wakondoa
3.wanyiramba
4.wachaga
Kwa tz makabila yenye wanawake wengi wazuri ni hayo tu-makabila mengine ni moja moja
Ww ndo ziro kbs hadi mjaluo nae Hahahha Au ww ndo mjaluo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungepanga angalao hivi ningekuelewa, lakini hiyo orodha yako ni zero.
1. Wambulu
2. Warangi
3. Wasambaa
4. Washirazi
5. Wanyiramba
6. Wahangaza
7. Wanyamwezi
8. Wasandawe
9. Wanyaturu
10.Wajaluo
Hawajui huyo kuna manzi wakali sana pande hizi NTuzu kingdomhivi wewe unawafahamu wanyantuzu?
Mambo ya simiyu hayoHawajui huyo kuna manzi wakali sana pande hizi NTuzu kingdom
Watoto wamepanda hewani km twiga
Figa za haja, Rangi ya mtume from Dubai
Na Tabia safi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha izo,humuoni dada naibu speaker kisu kabisa yuleWanyakyusa hapo sikubali hata kwa ngumi
1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
Hiyo namba 2 wengi wao ni noma kwa kugawa asali yani ful kujipigia tu1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa