walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu top ten tuMakabila yapo 100+ mda mwingn ulete walau top 50 ili angalau nami nione kabila langu kwenye chati maana kwa top 10 ii ii ya makabila aya aya tu miaka nenda rudi ntasubiri sanaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sina asili ya watu hao, lipo limesahaulika hapo ni wazuri balaa
sina asili ya watu hao, lipo limesahaulika hapo ni wazuri balaa
Sana tena wana huruma sana na jamii ya wanyaturu&wanyiramba kuna jamaa alioa dada mchizi alitafuna wadogo na ndugu woteWairaq/wambulu wapo vizuri sana, tatizo wana roho nzuri sana!siyo wachoyo kabisa
Litaje basi nawe upate sifa zakosina asili ya watu hao, lipo limesahaulika hapo ni wazuri balaa
ooooooh hivi mmang'ati nae anaweza kujitapa humu,, hao wapo silent wanajijua
sina asili ya watu hao, lipo limesahaulika hapo ni wazuri balaa
makabila yote tu wapo wadada wazuri sana ila ndo ubahatishe kuwapata, mwingine ukisikia kabila utatamani ukimbie but ni cute hatariMbona hulitaji
usisikitike anaweza kuwa mzuri sana tu ila kabila sio kitu tena hapo, uzuri wake unakutoshaNimesikitika sana kabila la mke wangu mpenzi halipo!
Utakuwa umeoa baunsaMke wangu mnyakyusa miksa mgogo hatar sana toto la kinyakyusa hili black beauty @no 10
Sent using Jamii Forums mobile app