Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Navuta Kiti, naketi kisha natulia na Michango ya WADAU
 
Wanawake wazuri wana sifa gani? Uzuri au urembo ni misamiati tata. Vyote vinategemea mtazamo wa mtu.
Mwanamke mzuri ni yule mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Mengine ni mbwembwe tu kwani uzuri au urembo wakati wowote unaweza kuwa kinyume chake.
 
1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
mkuu ina onekana unaya ogopa makabila makubwa na maarufu ndio umeyaolozesha...................makabila ya visiwani pemba na unguja hamna hapo pia tanga raha siyaoni hapo
 
Pole sana
Hawajui wanyakyusa huyo
Kwanza wana kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa awe nacho.Sura hata mbuzi anayo
Vipi Shepu?
Jumlisha sura
Basi Wanyakyusa Hoyeeeeeeeeee
Kitu Black beauty!!
Mbele anaita Nyuma anaita.
Sasa mnataka nini.
Ukatae ukubari utafiti ndo huo.
Scientific proven!
 
Back
Top Bottom