Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Warangi
2. Wanyaturu
3. Wameru
4. Wamasai
5. Wasukuma
6. Wachagga
7. Wahaya
8. Wanyamwenzi
9. Wapare
10. Wanyakysa
Mimi nataka kuoa mke wa pili mnyaturu, wana sifa zipi madada wa kinyaturu ?wambulu wa huko manyara na wambugu wa lushoto hawa wanakaa kama wasomali umewaachia wapi mkuu?? kabisa wamasai wawe wazuri kuzidi wambulu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi ila Wanyantuzu tuna totoz hatari sana haijawahi tokea nchi hiiWanyantuzu si ni wasukuma wa bariadi? Kwani kuna kabila la wanyantuzu la wapi hilo?
Watutsi waliozamiaMuambie hajui kuwa wanyantuzu ni wasukuma hao hao!!
Wanyakyusa?1. Warangi
2. Wanyaturu
3. Wameru
4. Wamasai
5. Wasukuma
6. Wachagga
7. Wahaya
8. Wanyamwenzi
9. Wapare
10. Wanyakysa
Anaumwa huyoTanga vipi
Lushoto
Sawa tumekuelewa,pamoja na uzuri wao inaonekana wote wana sifa ya umalaya,kama ni hivyo bora tu niendelee huku kusini kwenye sura ngumu,afterall nikiwa najilia vitu vyangu nafumba macho shida iko wapi...
Nipo Singida mwaka wa tatu huu lkn sijaona iyo sura nzuri unayo isema Mkuu labda unipe chimbo niende nikaone izo sura nzuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bora sura ngum kuliko ugonjwa wa moyo kwa kuwaolea wengine, kumbuka uzur wa mwanamke Ni tabia sio sura thnx
Hivi wajita wazuriMughonile!
Kama kichwa kinavyoeleza, top 10 ya makabila yanayoongoza Kwa Pisikali nchini Tanzania.
1. Wanyaturu.
Warefu, weupe, Sura nzuri, baadhi yao wananyama.
Ingawaje wanashutumiwa Kwa umalaya.
2. Wambulu.
Urefu wa wastani, weupe na Rangi ya chungwa, Sura nzuri, nywele nzuri....
Kashfa Yao inafanana na wanyaturu, umalaya, na Meno kuwa na Rangi.
3. Wameru
Wengi huwaita Waarusha, hawa wanamchanganyiko na wamasai,
Rangi nyeupe mtelezo, urefu na maumbo ya kuvutia, Sura nzuri,
Tatizo Lao Hasira, Meno kuwa na Rangi.
4. Wajita
Rangi ya maji ya kunde mtelezo na weusi mtelezo, warefu wenye shepu, Sura nzuri na zawastani, urefu wao na maumbo Yao huwafanya waonekane Kama wanatembea Kwa maringo.
5. Wapare.
Hawa wapo wa Aina mbili, wapare wa Same na wapare wa Mwanga.
Wapare wa Same ni Wafupi lakini wenye Sura nzuri.
Huku wapare wa Mwanga wakiwa Warefu wenye Sura nzuri.
Sura nzuri, Rangi maji ya kunde na nyeupe mtelezo,
Pia wanakashfa ileile ya umalaya.
6. Wanyiramba.
Weupe, warefu, Sura nzuri, wengi wakiwa na miguu membamba.
Hawa Kwa kiasi kikubwa Wanafanana na Ndugu zao Wanyaturu.
Pia wanakashfa ya umalaya.
7. Wanyamwezi!
Wazuri wa sura, warefu wa wastani, shepu za maana, katika ukanda wa kanda ya ziwa ndio wanaoongoza Kwa wanawake warembo.
8. Wachaga.
Wazuri, warefu, Rangi nzuri, wengi shepu huzipata Kwa kuchanganya Makabila.
Uwepo wa Wapare Kama majirani zao umewanufaisha Kwa kuwa na Sura ndefu za kushuka,
Ili Msichana awe na Sura nzuri lazima awe na Sura ya kushuka na pua iliyochongoka kiasi.
9. Wamasai
Warefu, pua za kuchongoka, Rangi maji ya kunde mpauko, na nyeusi mtelezo, wembamba wa kuvutia.
10. Warangi!
Weupe, Sura nzuri, warefu wa wastani, ukaribu wao na Wanyaturu umewafanya wasitambulike, kwani watu wasiowajua huwachanganya.
Mpaka kufikia hapo unaweza kuona kuwa wanawake warembo Kwa nchi ya Tanzania wapo Kanda ya Kati, kuja kanda ya kaskazini Mashariki.
Hapa mjini ukiwakuta wanawake kumi wazuri basi Nane watakuwa wanatoka kwenye hayo Makabila hapo.
Ile ya kusema wanawake wote ni wazuri ni kweli lakini wengine uzuri wao mpaka upigwe Jerk, ubustiwe Kwa pesa.
Wasalamu
Kwa hiyo mwanamke awe mzuri ni lazma sura iwe imeshuka, fair skin na pua iwe imechongoka,
Wazungu wakituita nyani kwa muonekano wetu wa kibantu bado mtalalamika wakati mnaona muonekano wao ni mzuri kuliko wetu🤦🏽♂️🤦🏽♂️