Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Mie naanza na hawa.

Wasukuma = Klugger na Harrier
Wachaga = Rav4 na Prado.
Wahaya = Rav4
Wamakonde = RangeRoverπŸ™‚ (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy)

Wengine jazieni
 
Sisi Wakinga vipi?
Haahaaaa, Nyie mkiingia kariakoo mkaotea chimbo na likatema mnakimbilia Audi A4 au bmw sedan, au zile benz E240 then mnaanza kutusumbua mafundi kila kukicha
 
Mie naanza na hawa.

Wasukuma = Klugger na Harrier
Wachaga = Rav4 na Prado.
Wahaya = Rav4
Wamakonde = RangeRoverπŸ™‚ (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy)

Wengine jazieni
πŸ˜‚ hapo kwa wahaya sawa sana, nna mifano vivid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…