Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

Sisi Wakinga vipi?
Haahaaaa, Nyie mkiingia kariakoo mkaotea chimbo na likatema mnakimbilia Audi A4 au bmw sedan, au zile benz E240 then mnaanza kutusumbua mafundi kila kukicha
 
Mie naanza na hawa.

Wasukuma = Klugger na Harrier
Wachaga = Rav4 na Prado.
Wahaya = Rav4
Wamakonde = RangeRover🙂 (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy)

Wengine jazieni
😂 hapo kwa wahaya sawa sana, nna mifano vivid
 
Back
Top Bottom