Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Mbona wangoni wapo na hatuwasemi tumetulia na kuwastahi🤣
Da. Nilisikia mhenga mmoja akisema kuwa kama una mwanamke wa kingoni muamini kwenye fedha lakini kwenye hayo mambo usimwamini hata kidogo. Ila bado tu Tanzania ni makabila mengi yanatajwa kuwa wanawake wake wanatoa kirahisi mpaka mtu unachanganyikiwa ni wapi wako nafuu. Singida utasikia hao ni balaa yaani wanyaturu. NB: kuna kabila ya wanyiramba hao kweli ni viwembe. Wagogo, warangi nao utasikia ni gawagawa. Iringa utasikia ''niangusage sambi sako bee, chupi anayo dada kaenda masine kusaga, zamu yake kuvaa leo''. Wazarano nao duu. Wanawake wa Tanga nao... yaani kila mkoa.
 
Mbona wamakonde na wamakua umewasahau"umepewa bure kumnyima ntu njambi!
 
Mimi ni mpare sifa kuu nyingine ya wapare ni akili kubwa maarifa busara hekima na pesa. Sijataja sifa nyingine kubwa aliyotupa hayati JK nyerere hard working people.
 
Huku wangoni(walivyo watam sasa🤣), kule wanyaturu, warangi, wagogo na wanyiramba..ukienda kwa wairaqw ndio usiseme!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…