Aliyepanga hiyo list ya makabila yenye wanawake wazuri tanzania alifanya utafiti wapi,lini na kwa muda gani? Eti wairaq,wapare nk,nk wasukuma hakuwaona au kwa vile wasukuma hawapo mjini? Huyo mtafiti arudi tena kufanya utafiti wake,manake alikuwa anaangalia tu wanawake wanaojipamba ndo wazuri. Inatakiwa ajue kuwa licha ya wasukuma kutojionesha uzuri wao,kushnda mbugani,machungani,kupikia watu ishirini kunyonyesha,kupigwa nk,wasukuma bado ni wazuri,akioga na kujiremba kwa sku mbili tu hata miss tanzania akasome.