Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Hauna Takwimu kusema wapare ni malaya we kabila gani sio malaya? Hata wahaya mnawaonea kisa walikuwa na madanguro siku hizi hadi wamasai ni malaya (baadhi)? Each and every tribe has good and evil people.
Namuomba Mungu aniepushe na moto wa jahanam na hapa duniani aniepushe na wanawake wa kipare
 
Namuomba Mungu aniepushe na moto wa jahanam na hapa duniani aniepushe na wanawake wa kipare
Lazima ulitendwa na mpare wewe sio bure kulaani kote nyway kila jamii ila vimbegu vya uwema na uhuni vile vile
 
Lazima ulitendwa na mpare wewe sio bure kulaani kote nyway kila jamii ila vimbegu vya uwema na uhuni vile vile
Wanawake wa kipare hawana wema wowote alafu wanaendekeza uchawi
 
Zamani nilijuaga weupe ni uzuri kumbe ni propaganda za western people and Asian to inferiorize black race.
Masalio ya ukoloni ni kwamba makabila yenye rangi(light skin) hudhani kuwa ni wazuri kuliko weusi tiii kama wasudan.
Dhana ya uzuri imebaki kuwa jambo lisiloeleweka kwa mtu mweusi duniani.
Wewe ni mmoja wa watu waliomezwa na fikra za kikoloni juuu ya uzuri wa mtu.
Unakuta mpare mmoja makalio kapigwa pasi halafu mtu anakwambua eti ni mzuri kisa ana karangi fulani hivi.
Swali ni je kama weupe ni uzuri wanawake wa kizungu /kiarabu/kichina/kihindi wote ni wazuri.
Mtoa mada japo hujasemea weupe ila naelewa watu wa maeneo ulootaja hawana zaidi ya uweupe.
Kwa nini mwonekano wa tofauti wa kimaumbile uwe uzuri ?
Je kundi lenye mwonekano unaofanana wote ni wazuri ?
Tabia ya kushadadia uweupe imepelekea waafrika shababi kuoa vimwanamke vya hovyo huko ulaya na china na baadae kujutia sana.
Huwezi kuniambia mbantu ni mbaya kuliko mmasai wakati watu hao ni tofauti kimaumbile. Fananisha mnyakyusa na mmakonde, muhaya na muha(they are all bantus). Mmasai na mtusi, muiraki na msomali( all noloyics) mwarabu na muhindi( Asians).
Unamlinganisha vipi mchaga na mwarabu kutafuta mzuri hali hawafanani kwa maumbile yao rangi zao nk.
DUNIA IPO KATIKA UJINGA NA UWONGO SANA Iila nambo yaliozoeleka huwa tanaonekana au kufikirika kuwa ni ya kweli hata kama hayana ushahidi wa kisayansi.
Any way dada zenu ni warembo kwa nyinnyi kaka zao.
Miaka ya 90+ pale shinyanga hakuna kundi la wanawake na wanaume lililokuwa linadharaulika kama wanyiramba na ndugu zao. Ukioa wale ulikuwa unachekwa mno. It was very inferior group in Shy social construct!
Unipinge kwa hoja.
Japo mi light skinned ila ulichoongea ni ukweli Kuna mablack Africans wazuri mpaka wanakuijia ndotoni
Damn
 
Aliyepanga hiyo list ya makabila yenye wanawake wazuri tanzania alifanya utafiti wapi,lini na kwa muda gani? Eti wairaq,wapare nk,nk wasukuma hakuwaona au kwa vile wasukuma hawapo mjini? Huyo mtafiti arudi tena kufanya utafiti wake,manake alikuwa anaangalia tu wanawake wanaojipamba ndo wazuri. Inatakiwa ajue kuwa licha ya wasukuma kutojionesha uzuri wao,kushnda mbugani,machungani,kupikia watu ishirini kunyonyesha,kupigwa nk,wasukuma bado ni wazuri,akioga na kujiremba kwa sku mbili tu hata miss tanzania akasome.
 
Mkuu Wasukuma ni wazuri wa kawaida na wengi Wana sura za Baba.
 
Back
Top Bottom