Mel James
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 356
- 290
Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni.
Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona anatafuta shimo la kuingia hawaachi kitu.
Wasafwa wa Mbeya wanakula karibu kila nyama ila kwa siri. Wanapenda sana nyama na pombe.