Makabila wanayokula karibu wananyama wote nchini

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
356
Reaction score
290
Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni.

Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona anatafuta shimo la kuingia hawaachi kitu.

Wasafwa wa Mbeya wanakula karibu kila nyama ila kwa siri. Wanapenda sana nyama na pombe.

Your browser is not able to display this video.

 
Hahaa wamakonde watani zangu!
umesema wanakula mpaka mizoga?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…