Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Wameru ni wameru na wachagga ni wachagaa.Wameru lugha yao ina ukaribu zaidi na lugha ya kimachame.
 
Kwanin kimeru kifanane na kimachame badala ya kufanana na kimasai ambacho ni kabila jiran?haya ndo maswal huwa najiuliza
 
Nami nimewahi kusikia kuwa wamachame na wameru ni ndugu, wameru wametokea uchagani. Lugha yao yafanana/ wanaelewana..mfano sal za asubuhi..wameru husalimia..kwantwa...wamache husema..nanto. habari za mchana wameru husema ..kwasindiswa..wakati wamachame..nesindiswa.
 
Duuh kwa warombo umeenda mbali sana. Mmeru na mrombo hawasikilizani angalau mmarangu kwa maneno machache. Hebu wenyewe waje watusaidie hapa...wapi Kipozi
 
Duuh kwa warombo umeenda mbali sana. Mmeru na mrombo hawasikilizani angalau mmarangu kwa maneno machache. Hebu wenyewe waje watusaidie hapa...wapi Kipozi

Upo sawa mkuu, wamarangu kama sisi kina kaaya tukiaangalia family tree zetu,

Tunaona tunashare vingi na wameru, acha lugha tu

Kuna kila sababu wameru ni wamarangu au hata viceversa
 

Hujanijibu swali langu kwa ufasaha.Nilitaka kujua kama wameru wa tz na wa huku Kenya ni wale wale ni kabila moja lilipoteana au vipi?Wameru wa Kenya wanaishi kando ya mlima Kenya na ni wakulima na kwao vyakula vya aina nyingi viko kwa wingi sana pia wanapanda majani chai na kahawa.Kitega uchumi chao kuu ni mmea wa mirungi.Wanapata hela sana kwa mirungi na utapata gari zao za mirungi zikielekea uwanja wa ndege JKIA kwa kasi ya ajabu.Hiyo ndo sifa yao mambo yote yao wanafanya kwa kukurupuka na pia wana hasira kali mno.Ukimtania anakukata kwa panga,wanakatana kwao saana na mapanga na visu ambavyo wengi wao hawakosi kutembea navyo.Hadi mwanaume asipoonekana ana alama au hata amekatwa pua au sikio kwao huyo si mwanaume!
 
Back
Top Bottom