Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na wewe unataka ujibiwe nini na hakuna hata cha maana ulichoandika juu ya wameru zaidi ni chuki na ujinga ujinga tu...Bila shaka wewe uliolewa huko na ukaachika.M@vi yako kamuulize maaamako[/QUOTE
Shida ya wameru ni hii hapa, badala ya kujibu matusi tu.
MM ni school of thought tuu maana wapo ambao husema wanatokea Sudan uko wakiassociate na Nubian Queen no wonder majina ya watoto hutokea kikenimnanitia aibu jamani... Wanyakyusa hawana asili ya Afrika Kusini...
MM ni school of thought tuu maana wapo ambao husema wanatokea Sudan uko wakiassociate na Nubian Queen no wonder majina ya watoto hutokea kikeni
Wapo pale NCCA au NCAA...
Mengine sisemi
Ila kwa ukatili hawa jamaa nawavulia kofia maana ukienda ARUSHA issue zao zimekaa kibandidu.1. Kwa nini Wameru wanasemwa ni wakorofi?
Maeneo mengi ya Tanzania, wameru husemwa kama watu wakorofi, wajeuri, wasioaminika na mengine mengi yanayofanana na hayo. Ukweli ni kwamba wameru ni watu wapole sana na wenye ukarimu wa hali ya juu. Jambo ambalo halina ubishi ni kwamba mmeru hakubali hata kidogo kuonewa. Kwa mmeru nyeusi ni nyeusi na si vinginevyo. Historia yao pia inawaingiza kwa bahati mbaya katika haya. Kwa muda mrefu kabla na wakati wa ukoloni wameru wamekuwa kwenye vita. Wamasai na wachaga ni kati ya makabila yaliyopambna na wameru sana kabla ya ukoloni. Wakati wa ukoloni walipambana sana na wakoloni na ilifikia mahali ambapo askari wa kichaga walikodiwa na wajerumani kuja kupambana meru. Viongozi wengi pia walinyongwa hadharani.
Hili na mengine liliwafanya wawe ni watu wa kujihami na kutoendekeza watu wasio wajua. Ndo maana hata dini za kikristo zilichelewa maru kwani wamissionari wengi sana waliua na hivyo kuogopa kufika meru kwa haraka.
Wameru wana umoja na misimamo isiyobadilika kwa mambo wanayoamini, hii imedhihirika kisaisa, kiutamaduni na hata kiuchumi. Mila zao hazijabadilika sana kwa muda mrefu; ni eneo ammabalo kwa sasa kuna adhabu ya viboko 70 kwa wale wote wanaokikuka misingi iliyokubaliwa katika jamii yao.
Wameru ni watu wachapa kazi sana na kwa hakika kuanzia waume kwa wake wote kazi ndo jadi yao. Wanalima na kufuga kisasa pia. Kwa ujumla kama ukiwa dar utakuwa unakula nyanya na vitunguu vinavyolimwa meru; arusha na maeneo jirani yote yanalishwa na wameru kwa maziwa, nyama, mbogamboga na matunda.
Kielimu, wameru hawakuwa na shule nyingi ila hata hivyo kuna wasomi wa kutosha meru. Ukipata nafasi soma kitabu cha “blood in our land” cha profesa mbise.
Naweza kuhitimisha kwa kusema, ikiwa wewe ni mtu mababaishaji huwezi kukaa na mmeru ama meru, ila ukiwa mtu mkweli, mchapa kazi na imara utafurahia sana kukaa na mmeru na kuwa sehemu ya wameru.
wachaga wachaga! Haya kama wapare ni wachaga mbona wapare sio wezi?
Alex massawe je?nani kakwambia wachaga ni wezi umeshawahi kusikia wapi jambazi sugu wa kichaga?
Wambulu wananywele kama za waethiopia/wasomali, kwa wanaume wanapenda pombe sana hasa za kienyeji(mangure).Kwa watoto wa kike sio wachoyo kwa vitu walivyopewa bure na mungu nadhani umenipata mtu mzima.
Umeelezea vizuri sanaIkiwa hakukuwa na kabila la Kinyakyusa kabla ya enzi ya ukoloni, kwa nini kulikuwa na lugha ya Kinyakyusa kabla ya enzi hiyo? Lugha hiyo ilitoka wapi, na kwa nini watu wanaoitwa Wanyakyusa walikuwa wanaelewana katika lugha hiyo, ikiwa hakukuwa na kabila la Kinyakyusa kabla ya Wazungu kuja kuanzia na Wajerumani?
Mnyakyusa mmoja mwenye asili ya Malawi, Walusako Mwalilino, amewahi pia kulizungumzia swala hilo katika maandishi yake nitakayoweka hapa baadaye.
Ni wakoloni wanaosema hakukuwa na makabila kabla ya wao kuja katika bara letu.
Wanyakyusa waliwahi kwenda vitani kupigana na Wajerumani. Mmoja wa viongozi wao mashuhiri alikuwani Chifu Mwakalinga. Lakini kwa sababu hawakuwa na silaha za kutosha, bali mikuki na ngao, walishindwa kuwaondoa Wajerumani. S.R. Charsley ameandika katika kitabu chake, "The Princes of Nyakyusa," kuhusu Chifu Mwakalinga na ujasiri wake pamoja na wa machifu wengine wa Kinyakyusa waliokwenda vitani kupambana na Wajerumani na walivyouawa kinyama migombani na sehemu zingine na askari wa Kijerumani.
Machifu hao walikuwa ni machifu wa nani, na walikuwa wanazungumza lugha gani na watu wao, ikiwa hakukuwa na kabila la Kinyakyusa kabla ya enzi ya Wajerumani?
Charsley pia anasema katika kitabu chake kwamba Wanyakyusa wameishi katika wilaya ya Rungwe miaka mia tano. Kitabu hicho kilichapishwa kwa mara ya kwanza 1968 au 1969. Na bado sijasoma maandishi yoyote ya mtu mwingine aliyepinga kauli hiyo.
Ikiwa ni kweli Wanyakyusa - pamoja na Wandali ambao pia ni Wanyakyusa waliohamia milimani ingawa labda kuna miongoni mwao ambao hawataki kuitwa Wanyakyusa - ikiwa ni kweli wameishi katika wilaya ya Rungwe miaka yote hiyo, zaidi ya miaka mia tano, ni dhahiri kwamba ni kati ya makabila ya kwanza yaliyofika katika nchi ambayo sasa inaitwa Tanzania.
Kuna uwezekano wameishi hapa nchini kwa muda wa miaka mia sita au mia saba kwa sababu kabla ya kuhamia Rungwe, Wanyakyusa walikuwa wanaishi sehemu zingine za nchi ambayo sasa inaitwa Tanzania. Walitokea Mahenge, Morogoro, Kilosa na sehemu zingine huko, na bila shaka waliishi huko kwa muda mrefu - inawezekana kwa karne moja au mbili au zaidi. Ukijumlisha miaka yote hiyo, utaona kwamba Wanyakyusa wameishi kwa muda mrefu sana, karne nyingi sana, hapa nchini kuliko makabila kama ya Kingoni na Kimasai na labda mengine, ingawa sisi sote ni Watanzania hata kama ulihamia hapa jana kutoka nchi nyingine au bara lingine.
Na ikiwa Wanyakyusa walitokea Afrika Kusini, inawezekana waliishi huko pia kwa muda mrefu sana kwa sababu Wazulu, Wakosa na watu wa makabila mengine walifika Afrika Kusini karne ya 500 A.D. Na labda ndiyo maana kuna maneno mengi katika lugha ya Kinyakyusa yanayofanana na maneno katika lugha za kule kusini - Xhosa, Zulu, Sutu, Swazi na zingine.
Bila shaka kuna watu wengi ambao wamewahi kusikia kwamba Winnie Mandela alikuwa anamwita mume wake, Nelson Mandela, "tata," kwa sababu ya tofauti mkubwa kati yao kiumri (miaka kumi na sita hivi). Neno hilo la "tata" katika lugha ya Kikosa lina maanisha "baba." Wanyakyusa pia wanasema "tata" kumaanisha "baba." Na kuna wimbo wa Kikosa ambao nimewahi kuusikia unaosema "Batata bosa," yaani akina baba wote - labda hata kwa ujumla unamaanisha pamoja na wajukuu. Wanyakyusa pia wanasema "Batata bosa." Hakuna tofauti hata kidogo kati ya Kikosa na Kinyakyusa katika maana ya usemi huo - "batata bosa."
Mfano mwingine: Kuna ndege mmoja mkubwa ambaye anaitwa "impududu" katika lugha ya Kikosa. Wanyakyusa wanamwita ndege huyo "imbututu." Ukilinganisha, unaona kwamba kuna tofauti kidogo sana kati ya "impududu" - na "imbututu." Ni rahisi kabisa Wanyakyusa na Wakosa kuelewana wanamaanisha nini wanaposikia neno hilo katika lugha zao ingawa lugha zao ni tofauti.
Lakini bado swali halijajibiwa ikiwa ni kweli Wanyakyusa walitoka Afrika Kusini kama Wangoni. Ila kuna ukweli kuhusu makabila hayo mawili. Ukweli huo ni kwamba wamehusiana kwa muda mrefu tangu Wangoni walipohamia huku kutoka Afrika kusini. Ndiyo maana unasikia Wangoni wanasema kuhusu Wanyakyusa, "Ni watani wetu." Wanyakyusa pia wanasema kuhusu Wangoni: "Ni watani wetu."
Pia inasemekana lugha ya Kinyakyusa ni tofauti na lugha za makabila ambayo ni jirano zao, kwa mfano Wasafwa, jambo linalo maanisha walitokea mahali pengine. Nadhani ni Monica Wilson aliyezungumzia jambo hilo katika maandishi yake kuhusu Wanyakyusa na tofauti kati ya lugha yao na za jirani zao. Lakini tukumbuke pia kwamba Wakinga ni jirani za Wanyakyusa na ni ndugu zao. Kwahiyo si jirani wote katika mkoa wa Mbeya na Iringa ambao ni tofauti na Wanyakyusa katika lugha na mambo mengine.
Ni muhimu sana kufuatilia historia ya makabila yetu.In defense of the Nyakyusa - Tanzanian people
Walusako Mwalilino, "Monthly Review," January 1994
The debate between Mahmood Mamdani and Basil Davidson in the Monthly Review of July-August 1993, which was sparked by Davidson's new book on Africa, The Black Man's Burden, requires an important correction. Both scholars present illuminating comments. My concern, however, is about one aspect only: the rectification of Nyakyusa history, of which both men seem to have insufficient understanding.
Davidson claims in his book that the Nyakyusa, who live in southwest Tanzania, as a tribe, were "invented" by European colonialism. He states: At first, the British set themselves to the work of inventing tribes for Africans to belong to; later, with possible independence looming ahead, they turned to building nation-states.(1)
Among such formed "new tribes," he goes on, were: the Sukuma and the Nyakusa [sic], [who] rose fully formed from the mysterious workings of "tradition." Not being worried by such workings, whatever Europeans supposed them to be, such coagulated clans and segments do not seem to have minded becoming "tribes"with exotic names. .but rather pleased about it.(2)
While I cannot speak for the Sukuma because of my unfamiliarity with their history, the origins of the Nyakyusa do not jibe with Davidson's historiography at all. His mistake is based on John Iliffe's book, A Modern History of Tanganyika, which, on the subject of the creation of African tribes, Davidson lauds as "exemplary" and "excellent."(3) But what does Professor Iliffe say that Davidson finds so.
The most spectacular new tribe were the Nyakyusa. In the nineteenth century their name described only inhabitants of certain lakeshore chiefdoms. Some German observers and early British officials extended it to embrace also the Kukwe and Selya further north, their culture being broadly similar. After failing to impose paramounts on this essentially stateless people, the British established a council of chiefs in 1933 and described it as the tribal system. Buttressed by distinctive culture, common language, and sheer isolation, the newly-invented Nyakyusa tribe soon became an effective political unit.(4)
In my opinion, this type of revisionist history is less than "exemplary" or "excellent." To start with, it's not true that in the nineteenth century the name Nyakyusa "described only inhabitants of certain lakeshore chiefdoms;" that they were a "stateless people;" or that they were an "invented" tribe. Let's consider the facts.
The heartland of the Nyakyusa is bordered by the Rungwe mountain in the north, the Songwe river in the south, and Lake Malawi in the east. Residents below the mountain, forty miles away from the lakeshore, also called themselves Nyakyusa. The whole area is now part of Mbeya Region, but the people still call their country Unyakyusa. The Songwe river forms the Tanzania-Malawi boundary; a smaller number of Nyakyusa live on its south bank, inside Malawi. The Nyakyusa are closely related to the Ngonde, of north Malawi, who occupy the river's south bank and stretching forty-two miles south on the lake's plain. The two groups speak the same language (with a minor difference in accents), although the Nyakyusa refer to their version as Kinyakyusa, while the Ngonde call theirs Kyangonde. And both groups pray to Kyala (God).(5) According to Malawian historian, Professor Owen Kalinga, the Nyakyusa settled in Rungwe valley between 1550 and 1650, a fact now supported by carbon dating.(6) The founders of the Ngonde nation settled in Malawi in 1600.(7)
Thus, centuries prior to the arrival of the British consul, Frederic Elton, in 1877, the first European to travel in Unyakyusa, the people had developed a political system of independent chiefdoms, without a central authority. Elton negotiated with Nyakyusa chiefs to be given men--porters--to carry his luggage en route to Zanzibar.(8) But what Elton didn't know then--and what Iliffe didn't know in 1979, and Davidson in 1992--is that the Nyakyusa, with their developed chiefdoms and sense of identity, had been living in Unyakyusa at least since 1650--a good two hundred years before their encounter with a white man! Indeed, anthropologist Godfrey Wilson, who conducted field research in Unyakyusa from 1954 to 1958, has said as much: "The Nyakyusa, when the Europeans reached them, were organized in small independent chiefdoms."(9) These chiefdoms were bonded together by their common history and Kinyakyusa language, and other cultural factors: rituals, customs, and conventions.(10) So the question arises: How could a people with this background have been "invented" by European colonialism?
Professor Iliffe is right, of course, to note that, "The common belief that colonialism imposed law and order on Africa needs always to be weighed against its tendency to disrupt the legal mechanisms of small societies.(11) This certainly applies to the Nyakyusa, whose form of governance was severely altered by colonialism.
The destructive process was begun by the Germans who were the first to colonize Tanganyika (now the mainland of Tanzania) in 1895, nine years after the Berlin Conference allowed European nations to partition Africa. Their task of influencing the Nyakyusa directly, however, proved difficult because the Nyakyusa had a system of chiefs of equal standing; whereas the Germans wanted a paramount leader whom they could use as a conduit. To overcome the problem, the Germans "introduced a paramount political authority among the Nyakyusa...in the persons of European officials.''(12) The Nyakyusa bitterly resented this alien set-up, which led to their confrontation with the Germans on December 2, 1897. The Nyakyusa say "five hundred"of their men were machine-gunned to death that day; while Germans say they killed "thirty to fifty" men.(13) This massacre ensured German rule over the Nyakyusa for the next twenty-one years--that is, until 1918, when Germany was defeated in the First World War.
The British then took over Tanganyika, as mandated by the League of Nations, and introduced indirect rule among the Nyakyusa. They "created new Native Authorities under [a white] District Commissioner and [who was] superior to the chiefs. The traditionally independent chiefs were grouped together in eleven court districts." (14) But unlike the Germans, the British paid to newly-appointed higher chiefs. Iliffe quotes a paramount chief who, "shortly after his invention in 1926" (and here the word "invention" is quite appropriate), thanked British authorities in writing, saying, "You have given our country back to us." (15) Iliffe somehow thinks this is how the Nyakyusa tribe was invented for the first time; he forgets that the newly invented chief had his own reason for thanking his new masters: he was on their payroll!
Iliffe further quotes a Nyakyusa person telling anthropologist Monica Wilson (wife of Godfrey Wilson): "Before you Europeans came,"--meaning, the British colonial administration--"the chiefs like Mwaipopo were not awe-inspiring, they feared the commoners very much .... It is you Europeans who have created chieftainship and awe."(16) Again, Iliffe fails to realize that, implicit in the man's statement is the admission that prior to the coming of European colonial rule the Nyakyusa had a democratic system which did not allow for a big chasm between the chief and the commoners. A chief was easily accessible to the people; this eliminated the need for the people to be in awe of him. Only a corrupt or dictatorial chief had a founded reason to fear the commoners.
I also disagree flatly with Iliffe's assertion that the European "effort to create a Nyakyusa tribe was...honest and constructive.''(17) To repeat, the Nyakyusa tribe was not "invented" by European colonialism; rather, it was the victim of colonialism. The problem with Iliffe and Davidson, is this: they fail to make a distinction between the centuries-old origins of the Nyakyusa tribe and the imposition of new colonial institutions-- failure which leads them to confuse the two.
As for Professor Mamdani, he also makes the mistake--although not as serious as Davidson's---of gullibly accepting, in passing, Davidson's historiography about the Nyakyusa. At no point in his long critique of Davidson's book does he question the author's accuracy about the Nyakyusa. Indeed, Mamdani's apparent lack of knowledge about the Nyakyusa is further revealed when he spells their name as "Nyakusa" (MR, p. 39), thereby repeating the typographical error in Davidson's book (p. 100), from which he quotes.
In conclusion, the scholarship of Africa cannot truly advance if experts, no matter how liberal or progressive, take lightly--to say nothing of distorting, trivializing, or denigrating--the history of some African tribes, and particularly if those tribes are small and appear to be insignificant. The history of the Nyakyusa, although they are a small tribe, still deserves a better reading and interpretation.
NOTES
1. Basil Davidson, The BlackMan's Burden (New York: Times Books, 1992), pp. 11-12.
2. Ibid., pp. 100-101.
3. Ibid., p. 101 and p. 328 (note 1).
4. John Iliffe, A Modern History of Tanganyika (London: Cambridge University Press, 1979), pp. 331-332.
5. Godfrey Wilson, The Constitution of Ngonde (Livingstone: The Rhodes-Livingstone Papers, 1939), p. 37. Monica Wilson, Rituals of Kinship Among the Nyakyusa (London: Oxford University Press, 1957), p.4.
6. Owen J.M. Kalinga, A History of the Ngonde Kingdom of Malawi (Berlin: Mouton Publishers, 1985), p. 53. Monica Wilson, "Reflections on the Early History of North Malawi," in Bridglal Pachai (ed.), The Early History of Malawi (Evanston: Northwestern University Press, 1972), p. 140. '
7. Owen J.M. Kalinga, op. cit., p. vii.
8. J.F. Elton, Travels and Researches Among the Lakes and Mountains of Eastern and Central Africa (London: Frank Cass and Co., 1968; 2nd edition), pp. 317-340.
9. Godfrey Wilson, op. cit., p. 8.
10. Monica Wilson, Good Company: A Study of Nyakyusa Age-Villages (Westport: Greenwood Press, 1983; reprint).
11. John Iliffe, op. cit., p. 296.
12. Godfrey Wilson, "The Nyakyusa of South-Western Tanganyika," in Elizabeth Colson and Max Gluckman (eds.), Seven Tribes of Central Africa (London: Oxford University Press, 1951 ), p. 284.
13. Marcia Wright, "Nyakyusa Cults and Politics in the Later Nineteenth Century," in T.O. Ranger and I.N. Kimambo (eds.), The Historical Study of African Religion (Berkeley: University of California Press, 1972), p. 168.
14. Godfrey Wilson, "The Nyakyusa of South-Western Tanganyika," op. cit., p. 284.
15. John Iliffe, op. cit. p. 324.
16. Ibid., p. 328.
17. Ibid. p. 324.
I should very much like to see communism tried for awhile before we give up civilization as a purely pathological phenomenon. At any rate, it can hardly produce worse results than capitalism. --George Bernard Shaw.
Walusako Mwalilino is a journalist and former Associate Officer in the department of Political and General Assembly Affairs at the United Nations. He is a contributor to The oxford Companion to Politics of the World (New York: Oxford University Press, 1993).
COPYRIGHT 1994 Monthly Review Foundation, Inc.
COPYRIGHT 2004 Gale Group.
Mkuu ahsante kwa kutuwakilisha vyema "Sisi wameru tunasemaga (Ekanu Dei) "Ahsante sana1. Kwa nini Wameru wanasemwa ni wakorofi?
Maeneo mengi ya Tanzania, wameru husemwa kama watu wakorofi, wajeuri, wasioaminika na mengine mengi yanayofanana na hayo. Ukweli ni kwamba wameru ni watu wapole sana na wenye ukarimu wa hali ya juu. Jambo ambalo halina ubishi ni kwamba mmeru hakubali hata kidogo kuonewa. Kwa mmeru nyeusi ni nyeusi na si vinginevyo. Historia yao pia inawaingiza kwa bahati mbaya katika haya. Kwa muda mrefu kabla na wakati wa ukoloni wameru wamekuwa kwenye vita. Wamasai na wachaga ni kati ya makabila yaliyopambna na wameru sana kabla ya ukoloni. Wakati wa ukoloni walipambana sana na wakoloni na ilifikia mahali ambapo askari wa kichaga walikodiwa na wajerumani kuja kupambana meru. Viongozi wengi pia walinyongwa hadharani.
Hili na mengine liliwafanya wawe ni watu wa kujihami na kutoendekeza watu wasio wajua. Ndo maana hata dini za kikristo zilichelewa maru kwani wamissionari wengi sana waliua na hivyo kuogopa kufika meru kwa haraka.
Wameru wana umoja na misimamo isiyobadilika kwa mambo wanayoamini, hii imedhihirika kisaisa, kiutamaduni na hata kiuchumi. Mila zao hazijabadilika sana kwa muda mrefu; ni eneo ammabalo kwa sasa kuna adhabu ya viboko 70 kwa wale wote wanaokikuka misingi iliyokubaliwa katika jamii yao.
Wameru ni watu wachapa kazi sana na kwa hakika kuanzia waume kwa wake wote kazi ndo jadi yao. Wanalima na kufuga kisasa pia. Kwa ujumla kama ukiwa dar utakuwa unakula nyanya na vitunguu vinavyolimwa meru; arusha na maeneo jirani yote yanalishwa na wameru kwa maziwa, nyama, mbogamboga na matunda.
Kielimu, wameru hawakuwa na shule nyingi ila hata hivyo kuna wasomi wa kutosha meru. Ukipata nafasi soma kitabu cha “blood in our land” cha profesa mbise.
Naweza kuhitimisha kwa kusema, ikiwa wewe ni mtu mababaishaji huwezi kukaa na mmeru ama meru, ila ukiwa mtu mkweli, mchapa kazi na imara utafurahia sana kukaa na mmeru na kuwa sehemu ya wameru.