Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Wangoni kiboko,wavumilivu sana!

Hatuvumilii sema tunatembeza sana libolo nje mwanamke akileta za kuleta ndani majeshi yote unahamishia kwa kimada wiki kanyooka mnaendelea kulisongesha, chezea Ngoni?
 
Nilisoma makala moja katika website ya UDADISI RETHINKING inasema"Nani hasa aliwaingiza wakurya jeshini", mwandishi wa makala ile alijaribu kuzungumzia vipaji vya waafrika ambavyo mkoloni(mwingereza) alivitumia kulinda na kuendeleza maslahi yake, akatolea mf. akisema kwamba kwa utafiti wa makabila uliofanywa na mwingereza unaonesha makabila yetu yametofautiana vipaji, wao walichoona cha umuhimu ni kuvitumia vipaji hivyo, na mwingireza ndiye aliwaingiza wakurya jeshini, sasa jiulize kwanini haikuwa kwa wachaga,wakwere au wamasai? mwandishi huyo anasema mwingereza aliona wasukuma wanafaa kwa kazi ya udaktari,kwa nini hakuona wakurya ndio wanaofaa, nasema hivi kwa sababu kuna watu wanakimbilia kufanya kazi zisizoendana na mioyo yao, kuna mtu aliniambia amepata nafasi ya kuingia jeshi nikamuuliza kama anaipenda hiyo kazi akasema haipendi,ila anaenda kwa sababu ya kukosa shughuli yeye anasema angependa kuwa mwalimu, mtu wa hivi anaweza kupigana vita na hana moyo wa kujituma wa ujasiri,
Mnalionaje hili wadau?
 
Mimi kwa upande wangu naona watoto wetu wanapokuwa wanaanza elimu yao ya chekechea ,primary hadi elimu ya juu kuwe na utaratibu wa kuwauliza wana mategemeo ya kufanya shughuli gani baada ya kuhitimu elimu yao, harafu serikali iangalie namna ya kuwawezesha, isiwe mtu mwenye kipaji cha kuwafundisha watoto wetu anaenda kufanya kazi ya jeshi, au mtu mwenye kipaji cha kupigana akaenda kufanya kazi ya ushonaji kwa sababu tu amekosa wa kumbeba!
 
Kuna kasifa kaziada kamepamba moto siku za karibuni kwa watani zangu wachaga..
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;

1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya

2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita

3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.

4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi

6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe),

Ongeza yako unayoyafaham.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hapo namba 4 tuheshimiane bro
 
Mkabila ya pwani si wavivu...wanakula matunda ya uwekezaji wa wazazi wao...karibu wote utakuta wana mashamba ya minazi, nyumba mijini...wnakula kodi tu za watu wa bara
 
Kaka wanyamwezi ni kama watu wa pwani,hawachapi kazi hata kidogo!
 
Magnificent
Wajita siyo tu kuwa wengi Ni walimu, Bali pia Ni wanasheria wengi. Kuhusu kujiamini kimtazamo yaweza kuwa hivyo lakini wanakuwa stereotyped eti wanapenda misifa sana japo hawawafikii wale kina bhojoooooooo
 
Back
Top Bottom