101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Leo nimejua Kwanini waha ni wabishi sana, sababu ni hii safari ya kutoka kigoma mpaka Dar huwachukua almost siku tatu kwa Train hivyo wataalam wanasema hawa mabwana hupiga story kwenye train mpaka zinaisha Wakifika tabora basi anatokea mmoja anaanzisha UBISHI basi watabishana kutoka tabora mpaka DAR ndani ya siku mbili.
Na hii ndio sababu waha ni wabishi [emoji1787][emoji1787]
Kama kuna makabila mengine ongezea hapo chini
Na hii ndio sababu waha ni wabishi [emoji1787][emoji1787]
Kama kuna makabila mengine ongezea hapo chini