dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Kina kisuuuuWaha wabishi sana, wanafuatiwa na wanyaturu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina kisuuuuWaha wabishi sana, wanafuatiwa na wanyaturu
Omugabo
Kuna Jamaa wanamuita Mugabo ametoka kigoma ,Mugabo maana yake ni nini?
Jirani, hivi kwanini hautaki kuja kuwasalimia wazee huku Itigi Mlongo jii...🤔Khaaa jamani 😂 wanyaturu tumefanyaje tena?
😂😂😂 soon jirani soon.Jirani, hivi kwanini hautaki kuja kuwasalimia wazee huku Itigi Mlongo jii...🤔
Karibu jirani, nitakupokea hapa utemini ukifika...😊😂😂😂 soon jirani soon.
Wabishi sana nyie aiseeKhaaa jamani 😂 wanyaturu tumefanyaje tena?
jamani yaan mpaka mtu unataman uvunge tuKuna wahaya wale wajinga ambao hawakupata bahati ya kusoma nao ni wabishi balaa
Niliwahi kusafiri nao cha ajabu wanabishana kuwa treni haiwezi kutumia siku 3, kigoma-dar. Yaani walibishana hadi nashuka mabishano hayaonekani yanaisha lini na namna ganiLeo nimejua Kwanini waha ni wabishi sana, sababu ni hii safari ya kutoka kigoma mpaka Dar huwachukua almost siku tatu kwa Train hivyo wataalam wanasema hawa mabwana hupiga story kwenye train mpaka zinaisha Wakifika tabora basi anatokea mmoja anaanzisha UBISHI basi watabishana kutoka tabora mpaka DAR ndani ya siku mbili.
Na hii ndio sababu waha ni wabishi [emoji1787][emoji1787]
Kama kuna makabila mengine ongezea hapo chini
hahahahaha! hapo anakutahadharisha mda wowote ukizingua, mechi inaweza kuanza....kuna jamaa namjua ni muha aisee ukimwambia kitu lazima anze na haagah au mmugh