Makabila yanayoongoza kwa ubishi Tanzania

Muha anaweza kubisha mpaka akichoka anamtafuta rafiki au ndugu anamuachia ubishi wake ataukuta tena baadae.Namakee ,namahoro.
 
Huyu mgeni aliyetutembelea toka kigoma ndo maana anaongea sana utadhani analala kwake
 
Kuna wahaya wale wajinga ambao hawakupata bahati ya kusoma nao ni wabishi balaa
 
Ubishane na mkinga awe mrefu kidogo, then ukutane naye kwenye bus anakujankujumua vitu.
Anaweza akakuelzea dp world from njia za ihovu mpaka Stendi ya msamvu
 
Niliwahi kusafiri nao cha ajabu wanabishana kuwa treni haiwezi kutumia siku 3, kigoma-dar. Yaani walibishana hadi nashuka mabishano hayaonekani yanaisha lini na namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…