Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Tanga line na Zenji wana lafudhi murua sana waweza kuwatoa nyoka pangoni, lakini wawe mademu, akiwa dume anaonekana bwabwa
 
Mimi nimemsikia bob Ludalah kwenye wimbo wake wa Julli anamalizaga kwa kusema "UCHICHIMAME WALA UCHIKAKE" ila wanashindwa kutofautisha kati ya si na chi kimatamshi.
Tanga oyeee[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
mm napenda lugha zote za Tanzania
lafudhi zao
pia zinanichekesha zote
pia nazipenda zote..[emoji7]
 
Back
Top Bottom