Makaburi ya Kisutu hayajai?

Serikali ipitishe Sheria ya ku etract madini kwenye maiti Kwa kutumia technology ya kisasa kama marekni yaani maiti inaingizwa kwenye furnace inachomwa kwa temperature ya juu halafu unapata Alma's,dhahabu,na madini mengine !!wanafamilia wanapata mgao was urithi!!!

Maiti ni rasilimali tosha kabisa sema ndo hivyo hatuna technology ya kuchakata!!
 
Siyo kisutu tu ardhi yote hii imejaa wafu kwahy jiulize watu wa zamani makaburi yao yako wapi?
Dunia haijaumbwa leo na watu hawajaanza kufa leo!
Usishangae unalala juu ya makaburi ya wapendwa wetu wa zamani.
 
Yatajaa vipi na watu na bills za kulipa? Mjini mipango
 
Aisee, sasa ninajiuliza, kwani tumekosa pa kuzikia? Mbona nje kidogo tu ya miji yetu ardhi kibao tu. Huenda serikali na raia hatujaona kama hili ni tatizo.
Wewe utakubali kuanza maisha mapya nje ya jiji! Au unasema tu.
 
Siyo kisutu tu ardhi yote hii imejaa wafu kwahy jiulize watu wa zamani makaburi yao yako wapi?
Dunia haijaumbwa leo na watu hawajaanza kufa leo!
Usishangae unalala juu ya makaburi ya wapendwa wetu wa zamani.
Akili ndogo hizi,idadi ya watu wa zamani na sasa ni sawa?
 
Aisee, sasa ninajiuliza, kwani tumekosa pa kuzikia? Mbona nje kidogo tu ya miji yetu ardhi kibao tu. Huenda serikali na raia hatujaona kama hili ni tatizo.
Watanzania wengi tumekwama kimawazo. Hatuhoji, hatufikiri, hatuwi wabunifu tupo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…