NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Serikali ipitishe Sheria ya ku etract madini kwenye maiti Kwa kutumia technology ya kisasa kama marekni yaani maiti inaingizwa kwenye furnace inachomwa kwa temperature ya juu halafu unapata Alma's,dhahabu,na madini mengine !!wanafamilia wanapata mgao was urithi!!!Habari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.
Shukrani
Maiti ni rasilimali tosha kabisa sema ndo hivyo hatuna technology ya kuchakata!!