Makachu divers wahamia Dar baada ya kutimuliwa Zanziber

Sasa mbona mmewatimua?
Shida sio kupiga makachu na kanzu na majuba
Shida ilikuwa dada wa kimarekani kwenda kupiga makachu matako wazi na Shanga kuunoni
Ila washafunguliwa baada ya kuomba radhi. Na leo kulikuwa na seminar ya kujadili namna na taratibu zinazotakiwa kufuatwa wakati wa kupiga makachu
 
View attachment 3187178
Hongera kwao ZATU.

Mamalaka nyingine zijifunze, tuache kufungia fungia vitu, tuwaite watu mezani na tukubariane namna ya kuendesha mambo for mutual benefits
 
Back
Top Bottom