Makada 19 wa CHADEMA waachiwa huru Mwanza

Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
Acha mihemko na uwe unaandika uhalisia.

"Wamefutiwa Mashitaka"
na Sio
"Wameachiwa huru"

Sababu walikuwa huru ila walikuwa na mashitaka mahakamani.

Harakati zikizidi mwisho wake hupoteza Dira.
 
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
Fujo kanisani?
 
Apo fujo iko wap
 
YAANI HUU UJINGA CHADEMA SIJUI WATAACHA LINI YAANI UNAPOTEZA MUDA WAKO KWA MAMBO YA KIJINGA ONA TANGU 2021 UNAQSOTA RUMANDE AKILI ZA MATAKONI KABISA HIZO
Hujasoma chuo kipindi cha kunji? Kaulize kina silinde hapo lumumba
 
Unaandika kwa herufi kubwa zote, una matatizo ya macho?
YAANI HUU UJINGA CHADEMA SIJUI WATAACHA LINI YAANI UNAPOTEZA MUDA WAKO KWA MAMBO YA KIJINGA ONA TANGU 2021 UNAQSOTA RUMANDE AKILI ZA MATAKONI KABISA HIZO
 
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru.

Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

Kwa mara ya kwanza, wanachama hao walifikishwa Mahakamani Agosti 19, 2021 wakidaiwa kutenda kosa hilo Agosti 15, 2021.

Washtakiwa kwa pamoja walidaiwa kuhudhuria Misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo wakiwa wamevaa sare za chama chao na fulana nyekundu zilizoandikwa Katiba Mpya.
Serikali ya Rais Samia itachukua miaka kadhaa kusafisha yale masalia.
 
Back
Top Bottom