Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wanakuja kuvuruga chadema niko hapa nimekaa waende vyama vingineKuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Hakuna habari ya kuzuia mashambulizi ya PolepoleCHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
View attachment 3458828
Nitahakikisha wanadhibitiwa haswaWanakuja kuvuruga chadema niko hapa nimekaa waende vyama vingine
Du ila watz akili hamna kabisaCHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
View attachment 3458828
Hawa si mliwatuma? Eti Chaumma hawajatupa mikopo, hawajatengeneza barabara, hawajatupa piki piki! Kuna mwingine juzi alisema alinyimwa nauli ya boda boda! Hawa ni watu wenu.Kuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Wewe kama nani?Nitahakikisha wanadhibitiwa haswa
Kuna mwenzenu aliwatuma. Waulizeni vizuri watamtaja.Nitahakikisha wanadhibitiwa haswa
Itakuwa ni makosa kufanya hivyo,wengine hawakujua ukweli. Sasa wakiamua kurudi kuna kosa gani?Kuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Sio ndogo😀Huu mwaka kazi ipo
Watavuruga vipi wakati ni watu wenu? Mnaona heri ashinde CCM kuliko mgombea wa Chaumma.Wanakuja kuvuruga chadema niko hapa nimekaa waende vyama vingine
CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
View attachment 3458828
Waulize hao mamluki wananijuaWewe kama nani?
Miaka yote wako Chadema wamepewa mikopo na piki piki? Chadema imewatengenezea barabara? Hawa hawajawahi kuondoka Chadema.Itakuwa ni makosa kufanya hivyo,wengine hawakujua ukweli. Sasa wakiamua kurudi kuna kosa gani?
Watasikilizwa!Itakuwa ni makosa kufanya hivyo,wengine hawakujua ukweli. Sasa wakiamua kurudi kuna kosa gani?