GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa si mliwatuma? Eti Chaumma hawajatupa mikopo, hawajatengeneza barabara, hawajatupa piki piki! Kuna mwingine juzi alisema alinyimwa nauli ya boda boda! Hawa ni watu wenu.

Amandla...
Watu wa makengeza baada ya kutupa taulo kususia NRNE
 
Watavuruga vipi wakati ni watu wenu? Mnaona heri ashinde CCM kuliko mgombea wa Chaumma.

Amandla...
Wewe ni kijana Mbowe mimi najimiliki mwenyewe akili huru sio mtumwa wa mtu yoyote au chama chochote sijawahi kua na kadi ya chama chochote
 
Wewe ni kijana Mbowe mimi najimiliki mwenyewe akili huru sio mtumwa wa mtu yoyote au chama chochote sijawahi kua na kadi ya chama chochote
Hongera kwa kuwa huru. Lakini kutokuwa na kadi hakumaanishi kuwa wewe hauwezi kuwa shabiki wa CDM.

Samahani kwa kukukosea heshima mzee wa JF uliyejiunga 2015.

Amandla...
 
Hongera kwa kuwa huru. Lakini kutokuwa na kadi hakumaanishi kuwa wewe hauwezi kuwa shabiki wa CDM.

Samahani kwa kukukosea heshima mzee wa JF uliyejiunga 2015.

Amandla...
JF niko kitambo nikupe ID nyingine uone nilijiunga mwaka gani?
 
Watu wasichoelewa izi ni project za watu wakati wewe unapewa elfu kumi ya Leo tu, wenzako washakunja mkwanja wa miaka mingi,
 
Hawa si mliwatuma? Eti Chaumma hawajatupa mikopo, hawajatengeneza barabara, hawajatupa piki piki! Kuna mwingine juzi alisema alinyimwa nauli ya boda boda! Hawa ni watu wenu.

Amandla...

Mnajifariji Sana. Kelele ila hamna lolote Sasa hivi mmepoteana.
 
Kuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Hawa sio viongozi hawana madhara bali ni muhimu kutunisha kapu la kura.
Sasa utazuiaje mtu kujiunga chama?
Kwani chama kitagharamia chochote kwa wao kuwa wanachama?

Hata wanaccm wanakaribishwa kuwa wafuasi na sio viongozi
 
Back
Top Bottom