Kwani hawa wao hawataki kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi huu!? Maana CHADEMA hawashiriki uchaguzi wa mwaka huuCHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
View attachment 3458828
Sijawahi kua Chadema wala kua na kadi mimi Mtanzania huru sio mtumwa wa chama chochote ni mtumwa akili yangu tuWatavuruga vipi wakati ni watu wenu? Mnaona heri ashinde CCM kuliko mgombea wa Chaumma.
Amandla...
Watu wa makengeza baada ya kutupa taulo kususia NRNEHawa si mliwatuma? Eti Chaumma hawajatupa mikopo, hawajatengeneza barabara, hawajatupa piki piki! Kuna mwingine juzi alisema alinyimwa nauli ya boda boda! Hawa ni watu wenu.
Amandla...
Wewe ni kijana Mbowe mimi najimiliki mwenyewe akili huru sio mtumwa wa mtu yoyote au chama chochote sijawahi kua na kadi ya chama chochoteWatavuruga vipi wakati ni watu wenu? Mnaona heri ashinde CCM kuliko mgombea wa Chaumma.
Amandla...
Hongera kwa kuwa huru. Lakini kutokuwa na kadi hakumaanishi kuwa wewe hauwezi kuwa shabiki wa CDM.Wewe ni kijana Mbowe mimi najimiliki mwenyewe akili huru sio mtumwa wa mtu yoyote au chama chochote sijawahi kua na kadi ya chama chochote
JF niko kitambo nikupe ID nyingine uone nilijiunga mwaka gani?Hongera kwa kuwa huru. Lakini kutokuwa na kadi hakumaanishi kuwa wewe hauwezi kuwa shabiki wa CDM.
Samahani kwa kukukosea heshima mzee wa JF uliyejiunga 2015.
Amandla...
Hawa si mliwatuma? Eti Chaumma hawajatupa mikopo, hawajatengeneza barabara, hawajatupa piki piki! Kuna mwingine juzi alisema alinyimwa nauli ya boda boda! Hawa ni watu wenu.
Amandla...
Kiruuuuuuu😂😂😂🤣😂CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
View attachment 3458828
Hawa sio viongozi hawana madhara bali ni muhimu kutunisha kapu la kura.Kuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Hawa tuwasamehe.. WameshatumikaKuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Usijisumbue. Binafsi simuamini mtu mwenye ID zaidi ya moja. Kwangu mimi ni ishara ya usanii.JF niko kitambo nikupe ID nyingine uone nilijiunga mwaka gani?
Mkuu Erythrocyte hata maandiko yanasema muwasamehe wale walioowakosea....nadhani wapokelewe ila waonyweKuna haja ya Chadema kupiga Marufuku hawa Mamluki kurejea, Hatuwezi kuwa na watu wajinga kama hawa
Huwezi kumpokea ShetaniMkuu Erythrocyte hata maandiko yanasema muwasamehe wale walioowakosea....nadhani wapokelewe ila waonywe