LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada.
Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani
Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa vijana wame tekwa?
Kwanini hakutaka kuwauliza walalamikaji wana ushahidi gani kwamba wame tekwa?
Kwanini hakutaka hata kuhoji walalamikiwa juu ya jambo hili?
Bungeni nako tumesikia majibu ya ajabu pia kutoka kwa spika.
Hebu ifike mahali tufuate viapo ambavyo watu hushika na Vitabu vya Mungu kumbe ni usanii.
Iko siku yaja viapo hivi vya kumdhihaki Mungu vita geuka moto.