Makadilio ya fedha itakayopatikana kutokana na bombs LA mafuta kutoka Hoima UG mpaka Tanga TZ

danymTZ

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
376
Reaction score
575
Hebu tukokotoe faida itakayopatikana kutokana na malipo ya USD 12.5 kwa pipa itakayolipwa Tanzania kutokana na bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.

Kutokana na maelezo ya Mh Rais jana, kila siku takribani mapipa 216000 kwa siku yatasafirisha kutoka Hoima hadi tanga.

Makusanyo kwa siku: billion 6.048 kwa siku
12.5*216000USD= 2 700 000USD =6 048 000 000 TSH.

Makusanyo kwa mwezi:Billion 181.144

(6.048*30)billion Tsh= 181.144 billion Tsh

Makusanyo kwa mwaka

(181.144*12)billion Tsh= 2177.280 billion Tsh =2.17728 Trillion Tsh per year

Kusema tu ukweli hakuna mradi uliowahi kutoa faida kubwa kiasi ukizingatia kuwa hatujawekeza chochote kwenye mradi huu ukiondoa ardhi na ulinzi.
JPM is the best president In Africa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sijakokotoa faida nyingine kama ajira, bandarini etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What's the current price of crude oil in word market?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara ya mafuta ni sustainable kwa karne hii ya clean energy investments and advances in technology?

Just trying to project ROI.
Nafikiri kabla hujaweka mradi lazima ufanye researchs/ feasibility study, kuanzia investment cost, market na profit. Naamini huu mradi sio mbaya ndio maana Kenya wameulilia sana kwa nguvu zote
 
Mkuu usitegemee kuungwa mkono na hawa wanaojiita wapinzani tz, angesema mbowe au lisu angeambiwa kiongozi bora mwenye maono.
 
Nafikiri kabla hujaweka mradi lazima ufanye researchs/ feasibility study, kuanzia investment cost, market na profit. Naamini huu mradi sio mbaya ndio maana Kenya wameulilia sana kwa nguvu zote

Uhabari renewable energy ndio habari ya dunia? Anyways labda sijui scope ya project hivyo ni ngumu forecast roi na sustainability.
 
Lile la Tazama linaingiza sh ngapi kwa siku?

[*]Bomba la TAZAMA linaingiza kiasi gani,.. Bomba la gas?..
TAZAMA na Uganda ni miradi miwili tofauti yenye malego tofauti. Tazama ni lakununuwa mafuta yaliyo safisha nje na kuingiza Zambia, Uganda ni la kuchimba mafuta ghafi Uganda kuizia dunia. Very different things.
 
Uganda itainuka sana kiuchumi itaipita hata kenya, ndo maana mu7 hataki kuondoka madarakani, Kampala itakuwa kama dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhabari renewable energy ndio habari ya dunia? Anyways labda sijui scope ya project hivyo ni ngumu forecast roi na sustainability.
Were still long way mpaka renewable iwe adopted worldwide. Watalamu wenywe hawajuwi ni njia gani ya kupita mpaka kufikia lengo la renewable. Waganda na Total ndio watajuwa ROI, sisi tunalamba $12 yetu kiulaini bila jasho.
 
Ukadiriaji huu ni Wa ki-layman sana, yaani umefanya kila kitu at maximum, Mapipa umeweka kama yalivyotajwa, siku za mwaka umeweka zote hakuna hata provision yeyote uliyoweka, kwakifupi ume-asume kwamba siku bomba likianza kufanya kazi halitakuja kusimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…