Makadilio ya fedha itakayopatikana kutokana na bombs LA mafuta kutoka Hoima UG mpaka Tanga TZ

TAZAMA na Uganda ni miradi miwili tofauti yenye malego tofauti. Tazama ni lakununuwa mafuta yaliyo safisha nje na kuingiza Zambia, Uganda ni la kuchimba mafuta ghafi Uganda kuizia dunia. Very different things.
Hajauliza TAZAMA linafanya nini, kauliza linaingiza Shilingi ngapi? Au kupeleka mafuta Zambia yanapita bure? Nadhani muuliza swali anahitaji tofauti na hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka za kwako basi za kiprofeshenari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajauliza TAZAMA linafanya nini, kauliza linaingiza Shilingi ngapi? Au kupeleka mafuta Zambia yanapita bure? Nadhani muuliza swali anahitaji tofauti na hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti yake inapatikana wizara ya fedha au wizara ya nishati na madini. Vilevile mbunge wake anaweza akamsaidia kuuliza bungeni kama swali la msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…