Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Mada za wavulana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WowMore than 40 girl nishawakaanga
HakikaMada za wavulana.
Yanayofanyika chumbani, yanapaswa kubaki chumbani.Hakika
Baeleze hao,hata Mwenyez Mungu hapendi wanaoitukuza dhambi.Atusamehe Kwa kweliYanayofanyika chumbani, yanapaswa kubaki chumbani.
Tatizo lipo pale ambapo jamii zetu zilivyoanza kuacha taratibu na tamaduni nyingi za kiafrika. Mambo kama haya yalizungumziwa jando, na kwenye unyago. Vijana walifundwa wakajua taratibu za kiutu uzima na ukomavu wa akili.Baeleze hao,hata Mwenyez Mungu hapendi wanaoitukuza dhambi.Atusamehe Kwa kweli
Wewe unatafuta nini huku kama umejitambua? Unapaswa kuwa mfano ili wengine wakuige.Wenzetu wazungu wapo busy maabarani wanavumbua Mambo mapya na huku sisi miAfrika asubuhi kiasi hiki tunawaza ngono tu.
Sijui sisi watu weusi tulimkosea Nini Mungu mpaka ikaja kuwa hivi.Inasikitisha Sana kwa kweli😥
Mboga zote chakula chote Cha kitanzania visawani na bara.... Kushoto kulia...mashariki na kusi....... usisahau kufua nguo za shuleHabari za asubuhi.
Tangu uanze ujana umekula au umekulwa na wangapi?
Naanza mwenyewe nimekula wasiozidi 6 mpaka sasa wewe je? Kuwa mkweli hakuna anaekujua.
SureTatizo lipo pale ambapo jamii zetu zilivyoanza kuacha taratibu na tamaduni nyingi za kiafrika. Mambo kama haya yalizungumziwa jando, na kwenye unyago. Vijana walifundwa wakajua taratibu za kiutu uzima na ukomavu wa akili.
Vilevile anonymity imewapa watu advantage ya kupost wanachokitaka kwa sababu hatufahamiani kwa sura.