Yuzobrax
Member
- Mar 26, 2016
- 22
- 41
Wakuu habari za majukumu, bila kupoteza mda ningependa wale wataalamu wa ujenzi wanisaidie kufanya makadirio ya kuzungushia uzio wa kiwanja changu, kiwanja changu kina size ya 45m x 25m na naplan kukizungushia uzio wa tofali, nimepanga kupiga msingi na kupandisha juu course 3 tu ili kukilinda na uvamizi Kisha nitulie nitakuja kumalzia baadae.
Naombeni mawazo yenu tafadhali wakuu.
NB: Kiwanja kipo dsm, eneo ni tambalale, udongo ni wa mchanga.
Naombeni mawazo yenu tafadhali wakuu.
NB: Kiwanja kipo dsm, eneo ni tambalale, udongo ni wa mchanga.