Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

Mkuu msaada hapa pia, eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
1. Tofali = (42m+50m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2300

2. Cement = tofali 2300/50 = mifuko 46 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x46/1000=14.4m³ (lorry la 15m³ trip 1 , au lorry la 5m³ trip 3 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
 
Ukimjibu na Mimi nitag....Cha kwangu 42x40
1. Tofali = (42m+40m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2050

2. Cement = tofali 2050/50 = mifuko 41 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x41/1000=12.8m³ (lorry la 5m³ trip 2, na gari dogo la 3m³ trip 1 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
 
1. Tofali = (42m+40m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2050

2. Cement = tofali 2050/50 = mifuko 41 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x41/1000=12.8m³ (lorry la 5m³ trip 2, na gari dogo la 3m³ trip 1 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM

zipo ramani za sample ambazo unaweza ukanionyesha. ?

nina kakiwanja kangu niko nakusanya hela mwezi wa 8 nianze kujenga baada ya mvua
 
Wavamizi hata uweke ukuta utakuta mwamba ashajenga na kuamia Tayari [emoji2]
 
1. Tofali = (42m+40m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2050

2. Cement = tofali 2050/50 = mifuko 41 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x41/1000=12.8m³ (lorry la 5m³ trip 2, na gari dogo la 3m³ trip 1 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
Mzee uko vzr
 
Wavamizi hata uweke ukuta utakuta mwamba ashajenga na kuamia Tayari [emoji2]
Ndo maana ni vizuri ukishakuwa na site yako utafutie hati kabisa either ya serikali za mitaa ikiwezekana ya wizara kabisa
 
Tumia majirani, tafuta hata wazee wawili watatu maeneo hayo, tengeneza nao urafiki(ujamaa)...siku ukienda kuangalia kiwanja chako unawabebea hata sukari au mchele kilo mbili mbili. Watajikuta wanakulindia kiwanja chako bure bila wao wenyewe kujua kwa sababu tu ya kuwa na ujamaa nao. Chukua namba zao ili kukiwa na lolote linaloendelea huko wakupe taarifa
 
Kuna sehem last week nimepigiwa hesabu na fundi kuzungusha ukuta:-
1. Tofali 1,7000 = 1,700,000
2. Mawe tripu 10 = 210,000
3. Cement mifuko 20 = 400,000
4. Ufundi jumla = 1,200,000
5. Mchanga tripu 3 = 210,000
Jumla kuu na mengineyo nilipigia makadirio ya 4,000,000/= na eneo langu ni tambarare.
hili eneo ukubwa gani
 
1. Tofali = (42m+50m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2300

2. Cement = tofali 2300/50 = mifuko 46 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x46/1000=14.4m³ (lorry la 15m³ trip 1 , au lorry la 5m³ trip 3 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
Ahsante sana boss, ubarikiwe. Nikiwa tayari ntakucheki kwa ajiri ya ramani.
 
Tumia majirani, tafuta hata wazee wawili watatu maeneo hayo, tengeneza nao urafiki(ujamaa)...siku ukienda kuangalia kiwanja chako unawabebea hata sukari au mchele kilo mbili mbili. Watajikuta wanakulindia kiwanja chako bure bila wao wenyewe kujua kwa sababu tu ya kuwa na ujamaa nao. Chukua namba zao ili kukiwa na lolote linaloendelea huko wakupe taarifa
Ushauri mzuri,Kuna mzee pale toka nishanunua alikua anamuangalizia alieniuziaga, so nlivyokinunua nikaona ni vyema nimtumie hyo hyo, hata ikitokea watoto wanaenda kuengua Nazi pale huwa ananipigia simu,so ni mtu ambae nimeamua kuwa nae karib na any updates za pale huwa ananipa,na kna sehem nimemwachia alime vimboga mboga kidogo
 
1. Tofali = (42m+40m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 2050

2. Cement = tofali 2050/50 = mifuko 41 (ratio 1:6)

3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x41/1000=12.8m³ (lorry la 5m³ trip 2, na gari dogo la 3m³ trip 1 )

Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
ndugu pia naomba unisaidie makadirio ya tofali kiwanja kina 37.2m, 37.2m, 28m na upande wa mwisho 30m lakini upande huu wenye 30m jirani yangu ameweka ukuta tayari. nikiweka mkanda na nguzo kila baada ya tofali 7 itanigharimu nondo na kokoto kiasi gani, shukran sana.
 
Unajua kufanya makadirio ni kazi kama kazi zingine, ukimchukua fundi ukaenda nae site kupima na kukupagia estimation ya vifaa huwezi ukamuacha hivi hivi, kuna tuhela huwa mnawapa na bado ukizembea anakuibia vile vile lakini sasa sisi tunaotoa msaada tu wa kuwafanyia hayo mahesabu tunanufaikaje? Mimi huwa napendaga kutoa elimu ili kila mmoja aweze kufanya mwenyewe, ukipitia comment zangu huko utaona nimeelezea vitu vingi kwa procedure
 
nimeweza kufanya estimate ya tofali bado nondo, thanks for that.
 
Back
Top Bottom