Tofali 1 utanipa buku. msingi tutaelewana...Wakuu habari za majukumu, bila kupoteza mda ningependa wale wataalamu wa ujenzi wanisaidie kufanya makadirio ya kuzungushia uzio wa kiwanja changu, kiwanja changu kina size ya 45m x 25m na naplan kukizungushia uzio wa tofali, nimepanga kupiga msingi na kupandisha juu course 3 tu ili kukilinda na uvamizi Kisha nitulie nitakuja kumalzia baadae.
Naombeni mawazo yenu tafadhali wakuu.
NB: Kiwanja kipo dsm, eneo ni tambalale, udongo ni wa mchanga.
Dsm mawe unayatoa wapiKuna sehem last week nimepigiwa hesabu na fundi kuzungusha ukuta:-
1. Tofali 1,7000 = 1,700,000
2. Mawe tripu 10 = 210,000
3. Cement mifuko 20 = 400,000
4. Ufundi jumla = 1,200,000
5. Mchanga tripu 3 = 210,000
Jumla kuu na mengineyo nilipigia makadirio ya 4,000,000/= na eneo langu ni tambarare.
Yamejaa tele Kariakoo na Maduka ya vifaa vya ujenzi Posta...🙄Dsm mawe unayatoa wapi
Aah sawa mkuuYamejaa tele Kariakoo na Maduka ya vifaa vya ujenzi Posta...🙄
Hapana mkuu, sio kinyonge hivyo.Aah sawa mkuu
Ahaa, ukubwa wa kiwanja ni SQM ngapKuna sehem last week nimepigiwa hesabu na fundi kuzungusha ukuta:-
1. Tofali 1,7000 = 1,700,000
2. Mawe tripu 10 = 210,000
3. Cement mifuko 20 = 400,000
4. Ufundi jumla = 1,200,000
5. Mchanga tripu 3 = 210,000
Jumla kuu na mengineyo nilipigia makadirio ya 4,000,000/= na eneo langu ni tambarare.
1. Tofali = (45m+25m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 840Wakuu habari za majukumu, bila kupoteza mda ningependa wale wataalamu wa ujenzi wanisaidie kufanya makadirio ya kuzungushia uzio wa kiwanja changu, kiwanja changu kina size ya 45m x 25m na naplan kukizungushia uzio wa tofali, nimepanga kupiga msingi na kupandisha juu course 3 tu ili kukilinda na uvamizi Kisha nitulie nitakuja kumalzia baadae.
Naombeni mawazo yenu tafadhali wakuu.
NB: Kiwanja kipo dsm, eneo ni tambalale, udongo ni wa mchanga.
Shukurani Sana mkuu, nakuja PM1. Tofali = (45m+25m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 840
2. Cement = tofali 840/50 = mifuko 17 (ratio 1:6)
3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x17/1000=5.3m³ (lorry la 5m³ trip moja)
Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
Fundi Yuko sawa,usinlipe zote wanazinguaKuna sehem last week nimepigiwa hesabu na fundi kuzungusha ukuta:-
1. Tofali 1,7000 = 1,700,000
2. Mawe tripu 10 = 210,000
3. Cement mifuko 20 = 400,000
4. Ufundi jumla = 1,200,000
5. Mchanga tripu 3 = 210,000
Jumla kuu na mengineyo nilipigia makadirio ya 4,000,000/= na eneo langu ni tambarare.
Nenda kachunguze ulipo Tofali 1 wanauza shilingi ngapi .halafu utaleta kwa awamu labda alfu kwanza yatakapoishia itajulikana yataongezwa mangapi.Ahaa total cost itakuwa bei gan
Mkuu msaada hapa pia, eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?1. Tofali = (45m+25m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 840
2. Cement = tofali 840/50 = mifuko 17 (ratio 1:6)
3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x17/1000=5.3m³ (lorry la 5m³ trip moja)
Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM
Pamoja mkuu nimekupata. Tofali 1 ni buku na unaletewa hadi siteNenda kachunguze ulipo Tofali 1 wanauza shilingi ngapi .halafu utaleta kwa awamu labda alfu kwanza yatakapoishia itajulikana yataongezwa mangapi.View attachment 2599042
Sw kama mpk site. Ila kua makini kuzi hesabu wakishusha kiongozi. Uwaga hazitimii wakiona ww sio makini kuhesabuPamoja mkuu nimekupata. Tofali 1 ni buku na unaletewa hadi site
Mkuu msaada hapa pia, eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
Ukimjibu na Mimi nitag....Cha kwangu 42x401. Tofali = (45m+25m)×2/urefu wa tofali na joint yake(0.48)× idadi ya kozi (6) = tofali 840
2. Cement = tofali 840/50 = mifuko 17 (ratio 1:6)
3. Mchanga = 1.3x20Ltrx12x17/1000=5.3m³ (lorry la 5m³ trip moja)
Ukihitaji Ramani au Makadirio kuhusu ujenzi usisite kunicheck PM