Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

Voldemort

Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
19
Reaction score
45
Habari za leo wana JF đź‘‹
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
picha_page-0001.jpg
ramani_page-0001.jpg
 
Roughfully around 50-70m ila makadilio halisi yatategemea uchaguzi wako wa finishing. Tuwasiliane upate kilicho bora zaidi
 
Kuna bati la Tzs 22,000 na kuna bati Tzs 55,000.
Kuna dirisha Tzs 200,000 na kuna dirisha Tzs 500,000
Kuna tiles 1.9sqm kwa Tzs 32,000 na kuna tiles 1sqm 65,000.
Kwa kifupi gharama inategemea unahitaji finishing ya kiwango gani.
 
At least andaa M35 had 45M kwa kujenga kiwaida na kubana bajeti
 
Back
Top Bottom