Habari za leo wana JF
Aisee akili gani imetumika kuweka public toilet huko ndani.Habari za leo wana JF π
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).View attachment 3516429View attachment 3516430