Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Nje ya mada mkuu hv ukitumia hao hao Beforward Agent wao wa hapa bongo gharama zinakuwaje?The higher CIF value will be considered by TRA. So TRA watatumia CIF ya Beforward kwa kuwa ndiyo kubwa.
Nilienda ofisi na Beforward hapa Dar miezi 2 iliyopita. Nikawauliza swali kama hili. Wakajibu kuwa endapo CIF yako na ya TRA hazitofautiani kwa zaidi ya $1000, basi utalipia ushuru unaonekana kwenye kikokotozi. Tofauti ikizidi hapo (CIF yako ikawa zaidi ya $1000), basi watapiga hesabu upya ya ushuru.Habari wakuu,
Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho itakuwaje wakati wa kuitoa bandarini.
View attachment 1803525View attachment 1803527
Ila tra ni wanyama nashanga magari ya 2012..15 ndo yanaqekewea kodi kubwaNilienda ofisi na Beforward hapa Dar miezi 2 iliyopita. Nikawauliza swali kama hili. Wakajibu kuwa endapo CIF yako na ya TRA hazitofautiani kwa zaidi ya $1000, basi utalipia ushuru unaonekana kwenye kikokotozi. Tofauti ikizidi hapo (CIF yako ikawa zaidi ya $1000), basi watapiga hesabu upya ya ushuru.
Ivi unaweza communicate na Seller arekebishe Price kwenye invoice ili angalau wakija huku watumie ile ya kwenye kikokotoo, mi yangu moja nimechungulia tofauti no Usd 1891 , this will be disaster baadeNilienda ofisi na Beforward hapa Dar miezi 2 iliyopita. Nikawauliza swali kama hili. Wakajibu kuwa endapo CIF yako na ya TRA hazitofautiani kwa zaidi ya $1000, basi utalipia ushuru unaonekana kwenye kikokotozi. Tofauti ikizidi hapo (CIF yako ikawa zaidi ya $1000), basi watapiga hesabu upya ya ushuru.
Ivi unaweza communicate na Seller arekebishe Price kwenye invoice ili angalau wakija huku watumie ile ya kwenye kikokotoo, mi yangu moja nimechungulia tofauti no Usd 1891 , this will be disaster baade