CoderM
Senior Member
- Jun 15, 2015
- 102
- 291
Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nataka kufungua kampuni kutokana na wateja wangu wengi wanataka kuhudumiwa na kampuni na sio mtu binafsi. Nimefuatilia BRELA nimeilewe tozo lao, sasa nahitaji kujua TRA wanalipishaje na leseni ya biashara inagharimu kiasi gani ili nijipange. Mtaji wa kampuni ni 10,000,000/= (milioni kumi).