Makadirio ya kodi TRA ya kufungua/kuanzisha kampuni.

Makadirio ya kodi TRA ya kufungua/kuanzisha kampuni.

CoderM

Senior Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
102
Reaction score
291
Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nataka kufungua kampuni kutokana na wateja wangu wengi wanataka kuhudumiwa na kampuni na sio mtu binafsi. Nimefuatilia BRELA nimeilewe tozo lao, sasa nahitaji kujua TRA wanalipishaje na leseni ya biashara inagharimu kiasi gani ili nijipange. Mtaji wa kampuni ni 10,000,000/= (milioni kumi).
 
Ukishasajili kampuni yako, utatakiwa upate TIN ya kampuni, then Ukaombe leseni yako katika ofisi za halimashauri ya mji/jiji zilipo ofisi za shughuli zako, ila kabla ya kupewa itabidi TRA wakukadirie mapato, ulipe hilo kadirio kwa installment angalau moja, kisha watakupatia Tax Clearance.....itakayo kusaidia kupata hiyo leseni....makadirio huko TRA itategemea tu mtakavyohojiana na afisa wa TRA.

Ukitaka usaidizi kupitia hatua zote tangu kusajili kampuni hadi TRA twendelee kuwasiliana....
 
Nimekuelewa.
Hapa naandaa bajeti ya kufanya yote hayo bila kukwama njiani. So kwa mtaji huo wa m10 makadirio yatakua sh ngapi? Kama ntaweza kujua range tu itanisaidia.
 
Zaidi sana huo mtaji wako unaangaliwa kwenye Business Licence. Huko TRA wanaangalia faida. Sasa makadirio ya Kodi ni vile utakavyotamka matarajio ya mapato yako.
Jieleze vizuri yatakuwa madogo.
 
Back
Top Bottom