Makadirio ya kodi

Makadirio ya kodi

Joined
Feb 3, 2021
Posts
20
Reaction score
15
Wana janvi.

NAPAZA SAUTI -kama haujafanya ma kdirio ya kodi; Muda ndio huu. Kabla ya 31 March; ili kuepuka adhabu.

Yeyote atakaye chelewa hapo atapata adhabu "pelnaty"

Usingependa ifikie hapo? Wahi kufanyiwa au kufanya makadirio mapema hii.

KWA KAMPUNI ZISIZO MPYA (2021)
-Wanatakiwa kujikadiria kwa njia ya mtandao
KAMPUNI MPYA ZILIZOSAJILIWA NA KUANZA BIASHARA 2021
-Utajaza fomu pale TRA na kukadiriwa moja kwa moja

namna ya kufanya makadirio online(mtandaoni)

1. Weka tayari TIN ya kampuni -kwa ltd
2. WEKA TAYARI TIN binafsi kwa director kwa ltd na pia kwa jina la biashara.
3. Hakikisha unayo namba ya SIMU (kuna namba zitatumwa humo) uliyotumia kusajili TIN; vingenevyo kabla ya kuanza zoezi ni vema wahi ukabadili namba

.HATUA 1. KUSAJIRI KAMPUNI
- INGIA MTANDAONI: tra tanzania
-NENDA: efilling
-NENDA REJISTA
-INGIZA TIN YA KAMPUNI na Kisha shaPASSWORD(buni NENOSIRI) KWA LTD UTATAKIWA KUINGIZA TIN YA DIRECTOR MMOJAWAPO
*UMEMALIZA HAPO

HATUA 2. KUSAJIRI DECLARANT
-NENDA REJISTA
-INGIZA TIN YA DECLARANT(tin binafsi)
-INGIZA PASSWORD(uliyo andaa)
* TAYARI*

Ukihitaji msaada zaidi; nipo kusaidia
0788 104 228
Ushauri ni Bure
 
Watz hatufanyi biashara ,tuna kadi tunasubiria teuzi ,hela za kuendeshea inchi tutapata kwa tunao waita mabeberu.
 
Unaweza fanya makadirio bila wa kaguzi wamahesabu?
 
Unaweza nisaidia maelekezo ya kina mkuu ili niweze faham vzr
 
Unaweza fanya makadirio bila wa kaguzi wamahesabu?
Inawezekana kufanya makadiro kabla ya wakaguzi (ripoti) wa/ya mahesabu. Kwasababu ukaguzi (ripoti) wa/ya mahesabu hupelekwa kabla ya 31/6 lkn makadirio hufanywa kabla ya 31/3.
Na ripoti ya ukaguzi wa mahesabu hua ni ya mwaka uliopita na makadirio hua ni ya mwaka huu (mwaka husika wa fedha)

Nadhani imekaa vzr
 
Gharama zako zikoje kwa kampuni mpya?
 
Hayo ya kusajili tayari.. wazee wanataka ku file returns za mwaka sijui ndio makadirio wapeleke TRA kabla ya deadline kuisha..

Mko mkoa gani?
Tupo Dar; ingawa kwa mtandao tynafika kote kote.

MAKADIRIO ni makisio ya kodi ya mwaka huu wa fedha - kwamba unakadiria uta lipa KODI kiasi gani. (Kwa lugha ya kigeni ni ESTIMATE)

RETURN (KODI HALISI) hii ni Kodi Halisia ambayo mlipa kodi alipaswa/anapaswa kulipa.
-Ni Kodi ya mwaka uliopita kiukweli

Return inapaswa kufile muda wowote MWISHO 31/6.
Vema kuwahi kuondokana na oenalty isiyo na huruma takribani 225, 000 kwa kila mwezi.

Tuwahi mapema maana data zote hata sasa tunazo kwani Return ya kupeleka mwaka huu ni transaction za mwaka jana tar 1/1 hadi 31/12
 
Watz hatufanyi biashara ,tuna kadi tunasubiria teuzi ,hela za kuendeshea inchi tutapata kwa tunao waita mabeberu.
Pole mkuu, ila sema mimi sifanyi biashara usiseme watz, wapo wanaofanya biashara na hao sasa hivi wako karikoo hawako JF kulalamika
 
Back
Top Bottom