fyegu Member Joined Oct 17, 2017 Posts 74 Reaction score 115 May 23, 2022 #1 Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa Ramani ya vyumba vitatu kimoja master, sitting room, jiko na dining itachukua bati ngapi. Ramani Ni hii apa chini NB . Mabati ya kawaida urefu ft 10. Asante.
Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa Ramani ya vyumba vitatu kimoja master, sitting room, jiko na dining itachukua bati ngapi. Ramani Ni hii apa chini NB . Mabati ya kawaida urefu ft 10. Asante.
C Caryceo Member Joined Oct 16, 2019 Posts 21 Reaction score 18 May 23, 2022 #2 Boss Kama upo serious tuwasiliane nikuandalie BOQ yaan calculation ya materials na gharama za nyumba nzima 07676/5586
Boss Kama upo serious tuwasiliane nikuandalie BOQ yaan calculation ya materials na gharama za nyumba nzima 07676/5586
D Daddi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 890 Reaction score 1,395 May 24, 2022 #3 Bati 75 mpk 100 kuendana na ukubwa wa nyumba yako. Maana hujaweka vipimo
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Jul 28, 2022 #4 Caryceo said: Boss Kama upo serious tuwasiliane nikuandalie BOQ yaan calculation ya materials na gharama za nyumba nzima 07676/5586 Click to expand... unauza ramani na kujenga au mkadiriaji tu
Caryceo said: Boss Kama upo serious tuwasiliane nikuandalie BOQ yaan calculation ya materials na gharama za nyumba nzima 07676/5586 Click to expand... unauza ramani na kujenga au mkadiriaji tu