Makadirio ya matumizi ya bati

Makadirio ya matumizi ya bati

fyegu

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
74
Reaction score
115
Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa Ramani ya vyumba vitatu kimoja master, sitting room, jiko na dining itachukua bati ngapi.

Ramani Ni hii apa chini
NB . Mabati ya kawaida urefu ft 10.

Asante.
IMG-20220504-WA0004.jpg
 
Boss Kama upo serious tuwasiliane nikuandalie BOQ yaan calculation ya materials na gharama za nyumba nzima 07676/5586
 
Back
Top Bottom